Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Badala mjadili mambo ya msingi yanayohusu uchumi na taifa kwa ujumla. Mnajadili upuuzi wa comasava ndio maana vijana wa hivi nchi tunaonekana mazuzu
Mkuu ungeficha huu upuuzi wako ungepungukiwa nn?? Ww ndio zuzu...hii video ni uwekezaji...na ishaanza onesha matunda yan cash flows...hapa jamaa atapiga shows nying...atalipwa dollars...atalipwa rand...atalipwa rupee..atalipwa euro..yuan na whtver kikubwa ni fedha za kigeni...na atakatwa kodi...fedha hizo atawekeza nyumban yan Tz atawalipa wafanyakazi....dancers...producers...kwa kifupi ataongeza mzunguko wa fedha...niendelee mwehu ww..unajua uchumi?...kwa nn kukawa na wizara ya sanaa na michezo..
 
Naunga mkono hoja
 
Michael Jackson sits happily in hell, knowing he put his fans in the safe hands of Diamond Platnumz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…