Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Yaniii umejuaje nilitaka nianzishe uzi japo mm sio mshabiki kivile wa dayamondi...ila kijana kajitahidi sana jamani yani kichupa ni ubaya ubwela mtupu...kazi wanayo wanaotoa vichupa vyao leo au kesho ..
Kwa hio Crown nae itakuaje na yeye ataachia mchupa kabla ya Sikukuu ya Makolo August 3 au itakuaje?
 
Tukutane kwa mkapa mkuu.. kesho tunaanzia kwa Madiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…