Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

Hili goma balaa mpaka sasa Lina views million 2 youtube
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mshenzi uyu mond kapiga mulemule kwenye kidonda wahuni wamebaki kuugulia maumivu
 
Hii si ya kukosa Mkuu.

Wasicheleweshe kutoa jezi sasa.
 
Wabongo mna kazi mpaka leo mna ushamba wa kusifia video kali? Nyimbo ni audio, watu wenye akili timamu wanastream audio!
Itoshe tu kusema wewe sio mfuatiliaji kiundani wa hii indasri ya myuziki mkuu..... fanya utafiti uone wenzetu wanavyotumia mabilioni kutengeneza video kali

Unashangaa wabongo kusifia video kali wakati ma awards makubwa huko duniani yanatoa awards za video kali za muziki

Shida yetu wabongo ni kwamba TUNAJIDHARAU sana kwa kila kitu,
Yaani kila kitu cha kibongo huwa tunachojua huwa ni kupondana tu
 
Kwenye sector ya majungu, ujuaji na kuabudu wageni tupo vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…