Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nimekusoma mkuuUnafeli ndugu kuwa na huzuni kwa hayo mashetani matawala ya Afrika. Huyo mshenzi sana, na Mola anayaadhiri kwa namna hiyo hayo mashenzi.
Pamoja sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekusoma mkuuUnafeli ndugu kuwa na huzuni kwa hayo mashetani matawala ya Afrika. Huyo mshenzi sana, na Mola anayaadhiri kwa namna hiyo hayo mashenzi.
Yani sipati picha aliondoka vipi pale jukwaaniAngevaa suti ya rangi nyeusi, kidogo ingesaidia kuficha hiyo aibu.
Hiyo rangi ya suti aliyovaa, si rafiki kama wanajua kibofu kishafanya yake.
Viongozi wa kung'ang'ania madarakani, kila uchaguzi wapo. Utasema hakuna wengine wenye sifa za kuongoza nchi...
Yule mtu mbadi Sanabado kibabu cha kuvaa mabeseni kichwani kampala
Nimeshindwa kuangalia video mara mbili. Ni fedheha kubwa sana, alipojiangalia sasa. Nami najiuliza hilo swali aliondokaje?Yani sipati picha aliondoka vipi pale jukwaani
Ni sawa mkuu mi nimekusudia yaani ugonjwa ambao automatically unakufanya udhalilike bila hata watu kuchunguza sababu ni pombe au afya kama afya.Kitu kinachoitwa ugonjwa hiyo sio aibu, aibu ingekuwa hivi; kanywa pombe halafu akajikojolea hadharani hiyo ndio aibu. Jambo linalohusiana na ugonjwa sio aibu.
Itabidi ANYONGWE tu huyu paparazziIla mchukua video kaniangusha Sana
Kamuabisha Sana mkuu WA inchi
... to put it more precisely; ni aibu ya nyakati zote!Hii sio aibu ya mwaka. Hii ni aibu ya miaka yote
Yote ya nini si unajipumzikia home tu unakunya kwa raha zako. Madaraka bana. Kila kitu anacho ila tamaa.Ukute kwenye ile miguo yake oversize kuna adult diaper.
Siku hizi safari zake zote anatembea na gari lenye choo.
View attachment 2446382
... inafedhehesha kwa kweli kwa amri jeshi mkuu kufikia hatua hiyo. Alisahau kukojoa kabla hajapanda meza kuu.Nimehuzunika Sana.
Ni ugonjwa wa akili wa kutokubali ukweli kwamba afya yake hairuhusu kushika wadhifa kama huuMaradhi ya kufedhehesha??!!
... ha ha ha! Na mwimbo wa taifa ukipigwa hatakiwi mtu kutikisika unless ni kwa sababu za kiusalama; mwamba alivunja hiyo protocol.Tunaomba muendeezo wa hiyo clip tafadhali, baada ya wimbo wa taifa kuisha nini kilifata?
Akhi, achana nae huyo Kadiani atakupotezea muda tu.Ni sawa mkuu mi nimekusudia yaani ugonjwa ambao automatically unakufanya udhalilike bila hata watu kuchunguza sababu ni pombe au afya kama afya.
Waliondosha mwishoniHata hao walioendelea kuchukua video walikosea sana
... inawezekana ni CCTV; tatizo ni aliyeirusha mitandaoni. Huenda muda huu hayupo tena duniani kesi yake ilishamalizwa.Ila mchukua video kaniangusha Sana
Kamuabisha Sana mkuu WA inchi
Namlaumu kutovaa diaper,sidhani Kama hajui tatizo lake... inafedhehesha kwa kweli kwa amri jeshi mkuu kufikia hatua hiyo. Alisahau kukojoa kabla hajapanda meza kuu.
Na kwa ubabe wa viongozi wetu Hilo Ni Jambo Dogo sana... inawezekana ni CCTV; tatizo ni aliyeirusha mitandaoni. Huenda muda huu hayupo tena duniani kesi yake ilishamalizwa.
Duh kwamba huyu Mokaze ni kadiani?.Akhi, achana nae huyo Kadiani atakupotezea muda tu.