Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

Kitu kinachoitwa ugonjwa hiyo sio aibu, aibu ingekuwa hivi; kanywa pombe halafu akajikojolea hadharani hiyo ndio aibu. Jambo linalohusiana na ugonjwa sio aibu.
Ni sawa mkuu mi nimekusudia yaani ugonjwa ambao automatically unakufanya udhalilike bila hata watu kuchunguza sababu ni pombe au afya kama afya.
 
Back
Top Bottom