ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Dogo mnoo.Na kwa ubabe wa viongozi wetu Hilo Ni Jambo Dogo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo mnoo.Na kwa ubabe wa viongozi wetu Hilo Ni Jambo Dogo sana
... sasa huyu ndio ka-demonstrate lively and vividly; sio Lowassa alisingiziwa na wabaya wake!Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri wao kuwa mkubwa na wengine wakiwa na afya zisizoridhisha.
Mwaka huu 2022, pia mgombea wa Urais nchini Nigeria Bola Ahmed Adekunle Tinubu mwenye miaka 70 alionekana akiwa na mfuko maalumu wa kuhifadhia mkojo wakati wa mchakato wa kuanza kampeni hali iliyopelekea wananchi kuhoji kuhusu afya yake na majukumu anayotaka kugombea.
Naam. Ni mfuasi wa kichaa Mirza Ghulam AhmadDuh kwamba huyu Mokaze ni kadiani?.
MusevenBasi TU mjomba anatembea na gari yenye choo kuogopa Mambo Kama haya...Afrika Ni bara lenye laana.
Mwenye camera alikiona cha MotoTunaomba muendeezo wa hiyo clip tafadhali, baada ya wimbo wa taifa kuisha nini kilifata?
Niletee na me moja,size mediumKUWEKA HAPA UNA MOYO YAAN ...
NGOJA NKANUNUE JEZI YA FRANCE MIE NIJIANDAE...BABU KAKOMAA KAM HAKUNA TUKIO..KINGINE WALINZI MMOJA ALIKUWA ANACHEKA KMOYOMOYO HAHAHAAAAA ...
DJ NAOMBA WIMBO WA DUNIA TUNAPITAA EE KILAKITU KITABAKIAA..........
... kwa jinsi ubongo wake ulivyokosa connection na viungo vingine including vya haja, the first sign aliyohisi ni joto kuongezeka miguuni ghafla ndio akawa anajitazama kuna nini. Hakujua lile joto limetoka mwilini mwake mwenyewe.Nimeshindwa kuangalia video mara mbili. Ni fedheha kubwa sana, alipojiangalia sasa. Nami najiuliza hilo swali aliondokaje?
Ama walinzi walimzingira, kama kumficha?
... inawezekana ilikuwa live event!Mwenye camera alikiona cha Moto
Mzee wa madawa ya kulevya, nashukuru kunifahamisha akhy.Naam. Ni mfuasi wa kichaa Mirza Ghulam Ahmad
Umri sio hoja sana kama katiba inaruhusu, na hii sio hapa Tanzania tu hata kwenye nchi zilizoendelea wapo viongozi wenye umri wa zaidi ya miaka 70, hoja ni afya njema.Kuna watu wanapenda ku ng'ang'ania madaraka
Unakuta umri ushaenda ila yeye yumo, afya ni mgogoro yeye yumo
Hatu huyu wakwetu SAA 100 mwaka 2025 apumzike tu, kwani mpaka kufikia Januari 27 mwaka 2025 atakuwa na miaka 65 ukiongeza na miaka 5 ya awamu ya pili anayo ing'ang'ania kuwa atagombea atatoka akiwa na miaka 70
Na pia kama sasa nchi ni ngumu kwake ndo ataiweza kweli katika umri wa miaka 65 hadi 70 (umri wa ubibi)
Tez-DHuu utakuwa ugonjwa gani,na kwanini hakujiandaa kujisitiri kwenye tukio hilo kama alijua anaugua?
Siyo mambo ya vipapai kweli??? Maana hata yeye kashangaaKatika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri wao kuwa mkubwa na wengine wakiwa na afya zisizoridhisha.
Mwaka huu 2022, pia mgombea wa Urais nchini Nigeria Bola Ahmed Adekunle Tinubu mwenye miaka 70 alionekana akiwa na mfuko maalumu wa kuhifadhia mkojo wakati wa mchakato wa kuanza kampeni hali iliyopelekea wananchi kuhoji kuhusu afya yake na majukumu anayotaka kugombea.
Alihisi kamwagiwa maji ya moto....... kwa jinsi ubongo wake ulivyokosa connection na viungo vingine including vya haja, the first sign aliyohisi ni joto kuongezeka miguuni ghafla ndio akawa anajitazama kuna nini. Hakujua lile joto limetoka mwilini mwake mwenyewe.