franck kamotta
Member
- Feb 9, 2019
- 95
- 113
Au alipiga vomboooameadhirika kweli kweli Rais mzee inaonyeshani mgonjwa huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au alipiga vomboooameadhirika kweli kweli Rais mzee inaonyeshani mgonjwa huyu.
Sio bure lazima atakuwa mgonjwa tu.ameadhirika kweli kweli Rais mzee inaonyeshani mgonjwa huyu.
... ukute ni zile camera inategeshwa huku ikiendelea kurusha live hapo utamlaumu vipi cameraman? Alaumiwe huyo rais kwa kushindwa kuchukua hatua mapema dhidi ya tatizo lake; tuache kutupia wengine lawama kwa makosa ya wengine - ooh alishauriwa vibaya; yeye zombie?Mpiga video mshenzi sana akaonesha tukio kwa umakini kwa nini hakutoa kamera? Ili auze? Kama angekuwa baba yake angefanya vile?
Mungu kampiga lubiki katakati ya kadamnasi.Mtu kama huyu ni dhahiri ni mroho, mbinafsi, mlafi anayelenga maslahi yake. Waafrika na shetani wana udugu.
Hudhani?Biden sidhan kama video ilitoka ni umbea tu.
Diaper republicBiden nae ana michezo hiyo
Title za hizo videoHudhani?
Yaani usipoona wewe tayari inakuwa umbea!
Mbona hata uki-google tu kuna video mbili tofauti Mzee akibusu mchanga.
Huoni vita vya kugombe shibe vinavyoendelea kule.Unaweza kueleza alimuua nani?
Huwezi kuelewa minachoendelea kama hujakaa kule. 2007 nilikuwa huko hivyo nimekuuliza swali nikiwa najua Ninacho kuulizaHuoni vita vya kugombe shibe vinavyoendelea kule.
Kwani nani ni founder wa vita vile visivyoishaHuwezi kuelewa minachoendelea kama hujakaa kule. 2007 nilikuwa huko hivyo nimekuuliza swali nikiwa najua Ninacho kuuliza
Ana matatizo ya kibofu.Wengine huwa na choo zao pembeni.Kwa wanaojua presidential directives za mamlaka kama hapa Tz, ni Nini kinapaswa kifanyike hapo baada ya AIBU hio?
Atabadirishwa Nguo na kuendelea ama zoezi lilokua linaendelea litakomea hapo? Kivyovyote vile hawezi kuachwa hivyo.
Bado Biya na Nguema.
sijapenda tu...nimejaribu kuvaa viatu vyake vimenibana
Huyo ana afadhali maana kutozuia mkojo kunaweza kusiathiri akili na ufanyaji wa maamuzi. Kuna huyu Bola Asiwaji Tinubu (BAT) mgombea wa chama tawala cha APC pale Nigeria, huyu mzee hana sifa yoyote ya kuwa Rais hata angekuwa na miaka 50. Ukitazama speech zake bila teleprompter hawezi kabisa kuongea, anatetemeka mwili, anatembea kwa shida, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kwa sababu akiulizwa hiki anajibu kile. Waliosoma nae wana miaka zaidi ya 80 ila yeye anasema ana 70 na ngapi sijui. Hii Afrika ina shida sanaView attachment 2446300