Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

Mpiga video mshenzi sana akaonesha tukio kwa umakini kwa nini hakutoa kamera? Ili auze? Kama angekuwa baba yake angefanya vile?
... ukute ni zile camera inategeshwa huku ikiendelea kurusha live hapo utamlaumu vipi cameraman? Alaumiwe huyo rais kwa kushindwa kuchukua hatua mapema dhidi ya tatizo lake; tuache kutupia wengine lawama kwa makosa ya wengine - ooh alishauriwa vibaya; yeye zombie?
 
Kweli waafrika tuna safari ndefu

Yaani rais mzima mwenye kila kitu hata kuvaa mfuko mbona ipo sana na wazee wanavaa?
Iweje hata Dr wake ameshindwa hilo tu
Sipo hapa kuhukumu ila tunafeli kwa mambo mengi sana
 
Vipi mkongwe biden, na wazungu wanavyosumbuliwa na magonjwa ya kusahau uzeeni......unaweza kuta keshasahau kama kuna wageni wa kutoka afrika...
 
Mungu amtie nguvu sana umri wake ni mzazi wangu maradhi hayana mwenyewe
 
This is why we are reffered as monkeys!!!!
Mungu iponye black race popote pale ulimwenguni.
 
Kwa wanaojua presidential directives za mamlaka kama hapa Tz, ni Nini kinapaswa kifanyike hapo baada ya AIBU hio?

Atabadirishwa Nguo na kuendelea ama zoezi lilokua linaendelea litakomea hapo? Kivyovyote vile hawezi kuachwa hivyo.
Ana matatizo ya kibofu.Wengine huwa na choo zao pembeni.
 
Na yeye ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kuwa Rais![emoji1787][emoji1787]
Huyo ana afadhali maana kutozuia mkojo kunaweza kusiathiri akili na ufanyaji wa maamuzi. Kuna huyu Bola Asiwaji Tinubu (BAT) mgombea wa chama tawala cha APC pale Nigeria, huyu mzee hana sifa yoyote ya kuwa Rais hata angekuwa na miaka 50. Ukitazama speech zake bila teleprompter hawezi kabisa kuongea, anatetemeka mwili, anatembea kwa shida, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kwa sababu akiulizwa hiki anajibu kile. Waliosoma nae wana miaka zaidi ya 80 ila yeye anasema ana 70 na ngapi sijui. Hii Afrika ina shida sanaView attachment 2446300
 
Back
Top Bottom