Video ya watoto inayotrend kwenye mitandao ya kijamii yazua gumzo hii ni haki au?

Video ya watoto inayotrend kwenye mitandao ya kijamii yazua gumzo hii ni haki au?

nimeiangalia tu kwa sababu nina kifurushi kikubwa, otherwise usingenikamata..
Screenshot_20230318-152546.png
 
Ndiyo wazazi/wabongo wanaona sifa watoto wakifanya mambo haya
Wenyewe wanasema watoto wana trenddd
Kama wale wengine wanao katika maunoooo

Ova
 
sio mbaya kama lengo kukuza vipaji, kujifunza defensive nk... cha muhimu walipaswa kuwa na head guard, mouth guard, na gears nyingine muhimu.

ni muhimu watoto kushiriki michezo ili wawe fit kiafya na kiakili kuliko kukaa idle na kujifunza ujinga..
 
Hizo ngumu sio poa kabisa. Hakuna cha kipaji ni kuumizana tu. Ukiangalia mazingira ni uswahilini kabisa hapo hawana hata mtetezi wakiumia zaidi ya kulia tu
 
Back
Top Bottom