Video ya watoto inayotrend kwenye mitandao ya kijamii yazua gumzo hii ni haki au?

Video ya watoto inayotrend kwenye mitandao ya kijamii yazua gumzo hii ni haki au?

Aloo dogo mwenye gauni jeupe. Yuko vizuri sana nimeona ubora wake kwenye
1. anatupa right hook za maaana sana.

2. Ana foot work nzuri sana mandonga haoni ndani.
 
Hizo ngumu sio poa kabisa. Hakuna cha kipaji ni kuumizana tu. Ukiangalia mazingira ni uswahilini kabisa hapo hawana hata mtetezi wakiumia zaidi ya kulia tu
Waeleze. The dawg who is training them should be arrested.
 
Ahsante kwa comments za huko juu nimepata kujua Nini kinaendelea kwa video😂😂maana hizi mb mzozo🤣🤣🤣
Nashangaa mrembo kama wewe kukosa GB kadhaa kwenye laini yako.

Kwakweli nimesikitika sana
 
Back
Top Bottom