Video: Yadaiwa Samaki Mtu (Nguva) aonekana ufukweni

Walishahuri isafirishwe vipande vipande 🀣🀣🀣
 
Wakuu!

Mwanzoni niliziona Kama hadithi tuu za kizamani lakini baada ya kuiona video hii mtazamo wangu umeanza kubadilika.

Ingawaje bado sijapata uhakika wa moja Kwa moja kuhusu video hii kama imeghushiwa au laa.

View attachment 2179190
Nenda Makumbusho ya taifa posta ukajionee, yupo pale nguva wamemuhifadhi......
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mkuu Mimi Kwa kweli kwenye mambo ya Teknolojia ya Photoshop sio Mtabe,
Hilo niwe muwazi,
Na Kama nikisema ni editing au sio editing nitakuwa naongopa tuu ndio maana nimeileta humu ili Wale Wataalamu WA ishu hizo watasema.

Najua kuna Wafuata mkumbo ambao watasema Editing pasipo na Facts zozote na Hilo ndilo Mimi linanishinda,

Maelezo yako mengine upo sahihi, hata Mimi ndio maana nashangaa Kama wewe.

Ila ninashindwa kufika hitimisho Kwa sababu ya Falsafa yangu kuwa; Duniani lolote linawezekana"
 
Kuna mwaka niliwahi soma makala kuhusu samaki nguza Ktk gazeti la mwananchi , nikagundua wengi mitaani tunapigana kamba.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ila uhakika ni kuwa hakuna kitu binadamu anachoweza kukisema au kukifikiri alafu kisiwepo, au hakijawahi kuwapo, au hakitakuja kuwapo
 
Bonge la wigi
Yaani hata hao wananunua mawigi kumbe
Utakuta na simu janja anayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan wa Africa hawapo?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sijawahi kuona wakiongelea kuhusu waafrika
 
Ila kiukweli ni kwamba mnyama aitwaye Nguva yupo na anaishi baharini.
Zipo taarifa/maelezo sahihi na picha za mnyama huyo ila sura yake hafanani kabisa na binadamu. πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…