Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Hata huelewi,Ofisi za Aljazeera ziko Palestina,Sherieen ni mpalestina na anaishi Palestina na anafanya kazi nchini kwake!Kama hujui,Sherieen amekuwa akifanya kazi hapo Aljazeera Kwa miaka 20 na anareport miaka yote hiyo kutokea Palestina!Sasa logic ya uspy inatokea wapi?Angekuwa anafanya kazi Israel,ningesema sawa,anaweza kuwa Spy!Ukikusanya taarifa nchi moja na ukaenda kuzipeleka nchini kwako unakuwa sio spy kwasababu muda huo haupo kwenye ile nchi?
Pili,kama Israel wangekuwa wanataka kummaliza sababu ni spy,basi Kuna njia nyingi wangeweza kutumia na sio hiyo ya wanajeshi wake kumpiga risasi mchana kweupe!Lakini pia producer wake alipigwa risasi ikatua kwenye vest!So hakuna logic ya uspy haipo!
Tati,Israel inapovamia Palestina Huwa hawajali usalama wa waandishi!Kwa miaka kadhaa iliyopita,wanasema Sherieen ni mwandishi wa 42 kuuwawa na waisrael ndani ya Palestina!