Video yaonesha kabla ya kifo cha mwandishi wa habari Abu Akleh hakukuwa na majibizano ya risasi

Ukikusanya taarifa nchi moja na ukaenda kuzipeleka nchini kwako unakuwa sio spy kwasababu muda huo haupo kwenye ile nchi?
Hata huelewi,Ofisi za Aljazeera ziko Palestina,Sherieen ni mpalestina na anaishi Palestina na anafanya kazi nchini kwake!Kama hujui,Sherieen amekuwa akifanya kazi hapo Aljazeera Kwa miaka 20 na anareport miaka yote hiyo kutokea Palestina!Sasa logic ya uspy inatokea wapi?Angekuwa anafanya kazi Israel,ningesema sawa,anaweza kuwa Spy!
Pili,kama Israel wangekuwa wanataka kummaliza sababu ni spy,basi Kuna njia nyingi wangeweza kutumia na sio hiyo ya wanajeshi wake kumpiga risasi mchana kweupe!Lakini pia producer wake alipigwa risasi ikatua kwenye vest!So hakuna logic ya uspy haipo!
Tati,Israel inapovamia Palestina Huwa hawajali usalama wa waandishi!Kwa miaka kadhaa iliyopita,wanasema Sherieen ni mwandishi wa 42 kuuwawa na waisrael ndani ya Palestina!
 
Israel sijui wana akili gani,hivi yule mwandishi walimuua kwa sababu ipi hasa?
Inawezekana alikuwa anawareport vibaya,wakamvizia sehemu tu........ndiyo maana wamesema hawata fanya uchunguzi wowote Kwa askari aliyehusika
 
Hawa ni kuwachukuwa wote kuwaleta moja ya mapori huku Tanzania ndipo wataacha kuuana wote ndugu hao
 
Mungu gani huyo?.Si Mungu wa Israel?.kwa mujibu wa mila zao lakini sio Mungu wa kila mtu.Kwa hiyo Wangoni wafukuzwe Tanzania sababu kule Namtumbo sio kwao warudi Kwazulu Natal?
Kama Kuna ushahidi wa kwamba waliowatoa huko namtumbo walipewa na Mungu basi onyesha huo ushahidi.
 
Hata huelewi,Ofisi za Aljazeera ziko Palestina,Sherieen ni mpalestina na anaishi Palestina na anafanya kazi nchini kwake!Kama hujui,Sherieen amekuwa akifanya kazi hapo Aljazeera Kwa miaka 20 na anareport miaka yote hiyo kutokea Palestina!Sasa logic ya uspy inatokea wapi?Angekuwa anafanya kazi Israel,ningesema sawa,anaweza kuwa Spy!
Pili,kama Israel wangekuwa wanataka kummaliza sababu ni spy,basi Kuna njia nyingi wangeweza kutumia na sio hiyo ya wanajeshi wake kumpiga risasi mchana kweupe!Lakini pia producer wake alipigwa risasi ikatua kwenye vest!So hakuna logic ya uspy haipo!
Tati,Israel inapovamia Palestina Huwa hawajali usalama wa waandishi!Kwa miaka kadhaa iliyopita,wanasema Sherieen ni mwandishi wa 42 kuuwawa na waisrael ndani ya Palestina!
Spy sio lazima awe ameenda nchi nyingine, anaweza tu kuwa ndio agent wa kupitisha taarifa kutoka kwa agents wengine na kuzipeleka mahali pengine.

Anaweza kuwa amefuatiliwa kwa miaka mingi mpaka walipojiridhisha. Njia ya kummaliza adui ni kutumia namna ambayo inaondoa doubts na ndio maana wamepiga na huyo mwingine makusudi ili ionekane ilikuwa random event.
 
Hivi umefuatilia news lakini?Israel hata hawakujua kama huyo mwandishi atakuwepo hapo!
Wao walivamia Jenin kwenda kutafuta watuhumiwa wa ugaidi,wakakutana na resistance kutoka Kwa Palestinian gurads!Kilichotokea ni kuwa Aljazeera wakapata taarifa ya hiyo confrontation ndio Shireen na producer wake wakaenda Site kureport habari!
So hakuna pre meditation hapo,Ilikuwa coincidence tu Shireen kwenda kureport,sijui unaelewa?
Halafu kwny suala la uspy,yule aliyeko jikoni anachota taarifa ndiye spy na si vinginevyo!Mfano mtanzania akajipenyeza na kuajiriwa Kenya,akawa anapata taarifa na za Kenya na kuzituma Tanzania!Mimi labda ndio nazipokea hizo taarifa nikiwa Tz na kuzipeleka Kwa wahusika!Yule aliyeko Kenya kuchota taarifa ndiye spy na si Mimi!Maana mwenye madhara ni yule wa jikoni,ukinimaliza Mimi,anawekwa mwingine!Ila akimalizwa aliyeko jikoni,ni vigumu kumpata mtu wa kupandikiza!
Hebu katafute usome makala za ujasusi ndio utaelewa vizuri!
I am done!
 
Unasikiliza propaganda za aljazeera, pole. The lady is forever gone, a sad thing that cannot be changed. Tchao.
 
Kama Kuna ushahidi wa kwamba waliowatoa huko namtumbo walipewa na Mungu basi onyesha huo ushahidi.
Acha habari za kufikirika,wewe una ushahidi gani kama Israel alipewa hiyo ardhi na Mungu?
 
Unasikiliza propaganda za aljazeera, pole. The lady is forever gone, a sad thing that cannot be changed. Tchao.
Sasa kama unajua hivyo,kwanini uko hapa?Leta propaganda zako nazo tuzione!
 
Mimi nakupa uhalisia na sio propaganda. Ukweli ndio huo nimekuandikia.
Ukweli gani wakati uko unabashiri?Wewe umesema Toka mwanzo ni hisia zako,hakuna mahala popote ambapo imeripotiwa kuwa alikuwa Spy,hizo umeleta wewe kama hisia na speculation tu!
Sasa hisia zako ndio unaziita ukweli?daah aiseee!
 
Halafu ngoja nikuongezee maarifa,unajua Israel ilipitisha sheria kuwa iwapo mwanajeshi wa Israel akiwa in line of duty na akamuua mpalestina,hakuna criminal case yoyote itakayofunguliwa?
Hii ndio maana jamaa wanaua tu wapalestina kinyemela kwasababu wanajua hakuna kuwajibika!
 
Biblia ndio ushahidi?Mimi nilijua ushahidi Kwa maana Kuna mashuhuda walikuwepo wakati wa makabidhiano hayo ya Mungu na waisrael!
Legal document ni ushahidi tosha. Bible ni legal document. Hatimiliki ndio hiyo. Hata Ben Gurion aliitumia UN mwaka 1947 kudai ardhi yao.
 
Ukweli gani wakati uko unabashiri?Wewe umesema Toka mwanzo ni hisia zako,hakuna mahala popote ambapo imeripotiwa kuwa alikuwa Spy,hizo umeleta wewe kama hisia na speculation tu!
Sasa hisia zako ndio unaziita ukweli?daah aiseee!
Hizi ni taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika vya mosad. Kama unavyoamini aljazeera na mimi naviamini.
 
Halafu ngoja nikuongezee maarifa,unajua Israel ilipitisha sheria kuwa iwapo mwanajeshi wa Israel akiwa in line of duty na akamuua mpalestina,hakuna criminal case yoyote itakayofunguliwa?
Hii ndio maana jamaa wanaua tu wapalestina kinyemela kwasababu wanajua hakuna kuwajibika!
Sasa kesi itoke wapi wakati hao wavamizi wanalazimisha kukaa kwenye ardhi ya Abraham baba yao Israel?
 
Legal document ni ushahidi tosha. Bible ni legal document. Hatimiliki ndio hiyo. Hata Ben Gurion aliitumia UN mwaka 1947 kudai ardhi yao.
Biblia sio legal document,ubabe na busara za UN ndio zimewapa hifadhi!
 
Sasa kesi itoke wapi wakati hao wavamizi wanalazimisha kukaa kwenye ardhi ya Abraham baba yao Israel?
Basi Kwa comment hii nimeshaelewa najenga hoja na mtu wa namna gani!
Uwe na usiku mwema!
 
Back
Top Bottom