Video za ngono na wasanii ni ndugu?

Video za ngono na wasanii ni ndugu?

Status
Not open for further replies.

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Habari wadau, kwanini wasanii na watu maarufu imekuwa kawaida kufanya ngono na kujirekodi tena kwa ujasiri?

Je, serikali hailioni hili au na yenyewe imeamua kubariki utumbo huu? Leo Aslay naye katoa sexy tape yake akifanya uchafu wake na kahaba mmoja hivi.

Hivi watu kama: Aslay, Gigy, Uwoya, Lukamba, Nyarandu na wengine tuseme wanaogopwa na serikali? Mbona hakuna hata tamko kama enzi za mwendazake?

Je, Amberruty ndiye muhanga tu wa hili jambo kwani pekee ndiye aliwahi kuonja selo na bwana wake ila akina Lulu diva na wengine thubutu.[emoji2357]
 
Habari wadau,kwanini wasanii na watu maarufu imekuwa kawaida kufanya ngono na kujirekodi tena kwa ujasiri?

Je serikali hailioni hili au na yenyewe imeamua kubariki utumbo huu? Leo Aslay nae katoa sexy tape yake akifanya uchafu wake na kahaba mmoja hivi.

Hivi watu kama:Aslay,Gigy,Uwoya,Lukamba,Nyarandu na wengine tuseme wanaogopwa na serikali? Mbona hakuna hata tamko kama enzi za mwendazake?

Je Amberruty ndiye muhanga tu wa hili jambo kwani pekee ndiye aliwahi kuonja selo na bwanaake ila akina Lulu diva na wengine thubutu[emoji2357]
Vichwa vishawaka moto
 
Mambo yanaweza kuwa mengi Ila makuu kwa mtazamo wangu ni matatu.

1. Ulimbukeni na kutokujitambua.
2. Kutafuta kiki kwa ajili ya kazi zao na kupata wafuasi wengi katika akaunt zao maana wabongo tunapenda ujinga.
3. Sehemu ya kafara za kiibada.
 
Menina yule alijijirekodi uchi
Video kesho akapewa ubalozi wa makampuni,
Tz sahv ni sodoma na gomorrah

Ova

Yule alirecordiwa hakufanya kwa idhini yake. Kama tutahukumu watu kwa makosa ya wengine itakua hatari basi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom