Video za uokozi maafa ya kariakoo

Tamaa za watu wachache, kuchimbua nini sijui chini ya majengo mazito, zisituletee maafa na majonzi katika familia na taifa letu.
1. Ni nani alitoa ruhusa ya kibali cha ujenzi?
2. Je kuna yeyeote aliyewajibishwa?
 
Sio Askari, wala hana Mafunzo rasmi ya Uokoaji. Ila amesukumwa na Moyo wa kusaidia na kuokoa maisha ya watu Kariakoo. Respect sana kwake na wale wote waliojitoa kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu.
Kulia ni mwanajeshi akiwa kwenye maonesho
 
Naona ndugu zetu wa Zimamoto na uokoaji wapo site wanapambana ila sasa vifa 😭
Kweli kabisa viongozi wanajichotea pesa kununua pikipiki na baiskeli za CCM lakini kikosi hiki muhimu mnashindwa kuwanunulia vifaa stahiki?
 
Attachments

  • 20241117_101002.jpg
    159.7 KB · Views: 1
Tamaa za watu wachache, kuchimbua nini sijui chini ya majengo mazito, zisituletee maafa na majonzi katika familia na taifa letu.
1. Ni nani alitoa ruhusa ya kibali cha ujenzi?
2. Je kuna yeyeote aliyewajibishwa?
kwa wakati muafaka tutafika huko gentleman,
Ni muhimu zaidi kuhangaika na waliokwama chini ya kifusi kwanza,

Lakini ifahamike tu kwa uchache na kwa hatua za awali ni kwamba hakuna aliehusika atasalimika au kuvuka mipaka ya nchi tangu sasa.

Lazima mizaha na uzembe wa aina hii ukomeshwe kwa namna ya kisheria ya kuogofya wenye mipango ya ulaghai kama hii πŸ’
 
Mbinu zinatumika ni duni na kiongozi wa nchi yupo Brazil
 
Gentleman,
kama kuna matukio na majanga yanahitaji umakini wa kiwango cha juu zaidi duniani katika uokoaji, basi ni pamoja na yanayofanana na hili la kariakoo..

kwani unahitaji kifaa gani hapo kwa mfano, gentleman?πŸ’
 
Pongeza zifike kwa Mama Samia kwa kutuletea mwanajeshi askari huyu asie na magwanda wala ujuzi wowote wa uokoaji ambae ameungana na wananchi kuokoa waliokwama kwenye kifusi, alisikika akisema chawa Mwandamizi Tlaatlaah
 
Gentleman,
kama kuna matukio na majanga yanahitaji umakini wa kiwango cha juu zaidi duniani katika uokoaji, basi ni pamoja na yanayofanana na hili la kariakoo..

kwani unahitaji kifaa gani hapo kwa mfano, gentleman?πŸ’
Hivi kweli wewe ni mwanaume una mke na watoto wanakuheshimu ?
 
Mbinu zinatumika ni duni na kiongozi wa nchi yupo Brazil
gentleman,
unahitaji kutumia mbinu gani kwenye ajali kama hiyo hata kama wewe ni mmarekani?

kuna janga linalofanana na hilo, marekani , umeona walitumia vifaa gani? ama kwasabb unajua kusoma na kuandika tu na kwahivyo unaweza kuebeza utakavyo jitihada makini zinazoendelea, right?πŸ’
 
We jamaa ungekaa kimya tu
 
Ndo kutumia jembe na jepe kama Masai anamwokoa ndama alinasa kwenye shimo la nungunungu
 
Taharuki uchwara vipi wakati Mama yenu kaingia mitini, ingekuwa Abdul yupo kwenye kifusi angepanda Ndege kwenda Brazil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…