mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wale shuguli yao inajulikana uchawa kusifia ujingujingHalafu sijawaona wala kuwasikia popote
Wako kama makuwadi
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale shuguli yao inajulikana uchawa kusifia ujingujingHalafu sijawaona wala kuwasikia popote
Tamaa za watu wachache, kuchimbua nini sijui chini ya majengo mazito, zisituletee maafa na majonzi katika familia na taifa letu.Tumalize kwanza kuokoa wahanga waliokwama kwenye kifusi.
Ni kweli,
zipo dosari na kasoro mbalimbali kwenye sekta ya ujenzi nchi, hasa kwenye majengo marefu, makubwa na mazito.
Janga hili la kariakoo litatupatia fundisho na uelekeo mpya katika ujenzi.
Tamaa za watu wachache, kuchimbua nini sijui chini ya majengo mazito, zisituletee maafa na majonzi katika familia na taifa letu.
uzembe katika hili ,iwe ndiyo mwanzo na mwisho kututoa machozi kama Taifa 🐒
kwa wakati muafaka tutafika huko gentleman,Tamaa za watu wachache, kuchimbua nini sijui chini ya majengo mazito, zisituletee maafa na majonzi katika familia na taifa letu.
1. Ni nani alitoa ruhusa ya kibali cha ujenzi?
2. Je kuna yeyeote aliyewajibishwa?
Mbinu zinatumika ni duni na kiongozi wa nchi yupo Brazilkwa wakati muafaka tutafika huko gentleman,
Ni muhimu zaidi kuhangaika na waliokwama chini ya kifusi kwanza,
Lakini ifahamike tu kwa uchache na kwa hatua za awali ni kwamba hakuna aliehusika atasalimika au kuvuka mipaka ya nchi tangu sasa.
Lazima mizaha na uzembe wa aina hii ukomeshwe kwa namna ya kisheria ya kuogofya wenye mipango ya ulaghai kama hii 🐒
Gentleman,Naona ndugu zetu wa Zimamoto na uokoaji wapo site wanapambana ila sasa vifa 😭
Kweli kabisa viongozi wanajichotea pesa kununua pikipiki na baiskeli za CCM lakini kikosi hiki muhimu mnashindwa kuwanunulia vifaa stahiki?View attachment 3154288View attachment 3154289View attachment 3154288
Pongeza zifike kwa Mama Samia kwa kutuletea mwanajeshi askari huyu asie na magwanda wala ujuzi wowote wa uokoaji ambae ameungana na wananchi kuokoa waliokwama kwenye kifusi, alisikika akisema chawa Mwandamizi TlaatlaahSio Askari, wala hana Mafunzo rasmi ya Uokoaji. Ila amesukumwa na Moyo wa kusaidia na kuokoa maisha ya watu Kariakoo. Respect sana kwake na wale wote waliojitoa kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu.
Kulia ni mwanajeshi akiwa kwenye maonesho
View attachment 3154285View attachment 3154286
Hivi kweli wewe ni mwanaume una mke na watoto wanakuheshimu ?Gentleman,
kama kuna matukio na majanga yanahitaji umakini wa kiwango cha juu zaidi duniani katika uokoaji, basi ni pamoja na yanayofanana na hili la kariakoo..
kwani unahitaji kifaa gani hapo kwa mfano, gentleman?🐒
Km la mmyake
Juzi nilikua namwambia ngara23 jambo hili nadhani leo atakua amenielewa nilikua namaanisha niniHivi wanawake walikatazwa kushiriki kuokoa watu maana wanatuitaga umbwa kisa kutunyima nyaaapu au ni nature 🤣🤣
gentleman,Mbinu zinatumika ni duni na kiongozi wa nchi yupo Brazil
We jamaa ungekaa kimya tugentleman,
unahitaji kutumia mbinu gani kwenye ajali kama hiyo hata kama wewe ni mmarekani?
kuna janga linalofanana na hilo, marekani , umeona walitumia vifaa gani? ama kwasabb unajua kusoma na kuandika tu na kwahivyo unaweza kuebeza utakavyo jitihada makini zinazoendelea, right?🐒
Ndo kutumia jembe na jepe kama Masai anamwokoa ndama alinasa kwenye shimo la nungunungugentleman,
unahitaji kutumia mbinu gani kwenye ajali kama hiyo hata kama wewe ni mmarekani?
kuna janga linalofanana na hilo, marekani , umeona walitumia vifaa gani? ama kwasabb unajua kusoma na kuandika tu na kwahivyo unaweza kuebeza utakavyo jitihada makini zinazoendelea, right?🐒
Taharuki uchwara vipi wakati Mama yenu kaingia mitini, ingekuwa Abdul yupo kwenye kifusi angepanda Ndege kwenda Brazil.ingekua ni kiungo cha ubishi kisichokua na uhakika..
vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinaendelea na shughuli za uokozi kwa bidii, umakini na weledi wa kiwango cha juu sana, bila kubababika na wanaharakati wanaojaribu kuhujumu na kuchochea taharuki uchwara kwenye maafa haya ya kusikitisha sana..
Mungu atafanya wepesi, hili nalo litapita 🐒