Ndo utumie nguvu kuwaepusha watoto wako na hilo balaa.Tunajifunza kwa waliotangulia kuhalalisha hiyo faragha.
Walianza na faragha
Ikafuata kutambulika kisheria na kijamii.
Sasa wanawafundisha watoto wasio na hatia mashuleni utamu wa faragha.
Je hadi hapo kuna faragha?
Sio yote ya kuiga, mengine tuyaache yaende
Nilikuwa nakuona wa maana kumbe ni mpuuzi fulani hivi,
Hapana sio vizuri,tumseme sana kwa mambo mengine,..kazi na dawa.
..you can not be serious all the time.
..mazoezi ni muhimu sio kumuachia unakuwa na makalio na tumbo kama la mwanamke.🤣
Kuna malezi ya kifamilia ambayo wanawajibika walezi.Ndo utumie nguvu kuwaepusha watoto wako na hilo balaa.
Kwa dunia ya sasa utapinga haya mambo lakini hutakuwa na nguvu ya kuzuia hata iweje.
Serikali yenyewe imeshindwa thats why unaona mashoga wakitamba bila wasiwasi na sheria walizoziweka wanashindwa kuzisimamia.
Pambana kulea watoto wako katika njia sahihi ili kuwaepusha
Upo sahihi lakini jamii imeshaharibika na inaendelea kuharibika jinsi miaka inavyosogea.Kuna malezi ya kifamilia ambayo wanawajibika walezi.
Pia kuna malezi ya kijamii ambapo inawajibika jamii nzima.
Sio rahisi kulea watoto na kuwaongoza kwenye maadili mema kwenye jamii iliyoharibika.
Julius malema mkali kweri kweriMnamtetea Zitto kwa sababu amefanana Misimamo na Tundu Lisu!
Mnaishi nao,tunaishi nao,mkiandaaUpo sahihi lakini jamii imeshaharibika na inaendelea kuharibika jinsi miaka inavyosogea.
Tumeanza lini kuongelelea haya mambo na hujaona yakipungua kama sio kuongezeka na kupewa promo kila siku?
Jamii unayoizungumzia ikiongozwa na serikali yake ni ya kinafiki, zaidi ya kupiga kelele kwenye mitandao hawafanyi lolote kwenye uhalisia.
NI wewe mzazi jukumu lako kumuongoza mtoto wako aishi kwenye aina gani ya jamii inayomzunguka.
Unaweza usifanikiwe sana lakini kwa malezi yako wewe jinsi utakavyomuongoza inaweza kusaidia.
Ni ndugu zetuMnaishi nao,tunaishi nao,mkiandaa
Shuguli wanakuja mnawaalika
Ova
HakikaYuko sahihi.
Ni kujitoa ufahamu kuwa eti tunachukia ushoga wakati tumeshindwa kuwachukia wevi wa pesa ya umma, tumeshindwa kuwachukia wauaji na waporaji, tumeshindwa kuwachukia wevi wa kura, tumeshindwa kuwachukia wanaouza rasilimali za nchi kwa manufaa yao.Zitto kanifanya nicheke sana yani kumbe kuna namna ya kujibu hili swali ambayo haitakuwa na makali sana.
Yani kuna ujibuji wake wa hili swali ambapo haitaonesha kuwa unapinga ushoga bila
Lakini viongozi wetu kwanini kwenye ishu ya kupinga ushoga wanakuwa na kauli za kusita (indirect) lakini kwenye kukemea madada poa wanaenda straight?
Natamani hili swali aulizwe Chalamila siku moja
Sasa nani atakushtaki?Kosa la jinai ni kosa tu hata kama unalifanya faragha.
Aisee..Natamani hili swali aulizwe Chalamila siku moja
Dah kweli Wewe ni PAPAIMambo ya faragha ya watu wazima waliokubaliana wewe yanakuhusuje?
Nakumbuka wakati fulani, M. Bandio (Diaspora wetu yupo Marekani) alirusha live kupitia ukurasa wake wa Facebook, Kikao cha watanzania wanaoishi Marekani.Yuko sahihi 💯%.
Unadhani faragha ya wanaume kwa wanaume au wanawake kwa wanawake inamaanisha nini? Kama sio kufirana na kusagana? Ni Haramu. PeriodWakiwa faragha wewe utajuaje wamesuguana?
Akikujibu nitag.Mambo ya faragha ya watu wazima waliokubaliana wewe yanakuhusuje?