Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ndo utumie nguvu kuwaepusha watoto wako na hilo balaa.Tunajifunza kwa waliotangulia kuhalalisha hiyo faragha.
Walianza na faragha
Ikafuata kutambulika kisheria na kijamii.
Sasa wanawafundisha watoto wasio na hatia mashuleni utamu wa faragha.
Je hadi hapo kuna faragha?
Sio yote ya kuiga, mengine tuyaache yaende
Kwa dunia ya sasa utapinga haya mambo lakini hutakuwa na nguvu ya kuzuia hata iweje.
Serikali yenyewe imeshindwa thats why unaona mashoga wakitamba bila wasiwasi na sheria walizoziweka wanashindwa kuzisimamia.
Pambana kulea watoto wako katika njia sahihi ili kuwaepusha