Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 301
- 856
Upendo haupaswi kuumiza yeyote. Ikiwa unachotaka ni upendo unaodumu, unaweza kuupata hakika...
There’s nothing wrong with you. And there’s nothing wrong with the one who broke your heart..
Hapa kuna vidokezo vitatu…
Moja, upendo wa kudumu ni ujuzi, hauji kwa bahati. Love can be learned... Yaani unaweza kujifunza upendo na ukahitimu. Jifunze upendo. Upendo wa kudumu hautokei tu - unasababishwa kutokea. Unachopata kwenye upendo ni matokeo ya kile unachowekeza. Reflect on your inputs.
Mbili, upendo wa kudumu ni uamuzi, sio hisia. Kilichowakutanisha hakitawaweka pamoja. Hisia hupanda na kushuka. Hisia ni za muda mfupi. Maamuzi ni ahadi thabiti - ambapo upendo hudumu milele.
Tatu, upendo wa kudumu ni agano, sio mkataba. Mikataba inaweza kufutwa ama kuvunjika muda wowote. Maagano kamwe hayavunjwi. Maagano ni zabuni. Maagano hulinda upendo. Maagano ni ulinzi, si vikwazo.
Wakorintho 13:4-7
Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya, hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote.
Make Your Love Work.