Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Hiloo,acha roho mbaya,roho ya husda,roho ya kutu....imekuumaa.Kinachokutesa kwann wamepona wale 26 wazo lako kwa ushetani wako unataka wangekufa wote ili uandike tu RIP.....mweee....kweli shetani yupo na kaz kawapa maagent wake.Kamnyonge bas ufaidi
 
we ndo mmmoja wa maafande mlioenda kuhudhuria uokoaji na smartphone zenu
 
Elewa kiswahili mkuu yalianza na huyo kijana wa hovyo aliyefungua mlango yeye ndo alienda kuyatoa hayo maji yaloanza kuingia au
Yaan wewe ujuaji mwingi wakati huna unalo lijua ,ni wivu tu Ndio unakusumbua

Unaambiwa ndege baada ya kutumbukia kwenye majia upande wa mbele maji yalianza kuingia na abiria walio kaa siti za mbele walianza kufunikwa na maji huku wa nyuma wakihaha kujiokoa (hayo ni maneno ya abiria aliye okolewa baada ya kuvunjwa mlango) sasa wewe wa nje huko ambaye hata ndege yenyewe hujawahi panda unaleta ujuaji wako

ndio baadae baada ya mlango kuvunjwa wakaanza kutolewa maana yake bila mlango kuvunjwa wangekufa maji wengi zaid maana maji yalisha anza kuingia ndani kabla hata ya mlango kubunjwa.

Acha ujuaji na roho ya wivu kama mwenzio kapata usianze kumaagia kunguni kwa sababu za kuokoteza hiyo ni roho ya shetani kabisa uliyo nayo

Eti wangevuta ndege kwenye maji mengi kwa akili yako ilivyo ndogo unadhani ingeelea sindio? huna akili ingawa unajiona unajua kufikiri.
 
Fuatilia mazungumzo ya jamaa mmoja aliye salimika katika hiyo ajali anaongea kutoka hospital, nilikua nafikir kama wewe lkn baadae nikagundua kufungua mlango ndo ulikua msaada zaidi kuliko kuuacha.!
 
wivu mwezao kapata ajira serikalini
 
Fahamu haya mleta mada.

1. Maji yalishaanza kuingia ndani ya ndege kabla hata ya mlango kuvunjwa.

2. Watu wote waliokuwepo ndani ya ndege muda mchache tu tangu iingie kwenye ziwa walikuwa hai na walikuwa wakihaha kutaka kutoka kwa njia yoyote ile maana hakukuwa tena na hewa ndani.

3. Zoezi la kuvunjwa mlango lilifanikisha kuokoa zaidi ya abiria 20 wakiwa hai ndani ya muda mchache.

4. Hata baada ya masaa 24 tangu hiyo ndege kuanguka bado ilikuwa haijafanikiwa kuvutwa nje ya maji.


Sasa mleta mada, anzia hapo kuleta uchambuzi wako.
 
Hao abiria 26 wangepona bila huo mlango kufunguliwa ?

Unasema wangeivuta kwanza ? Seriously ? Kwa mda gani uliokuwepo na vyenzo gani ?

Akili hauna wewe
Lina roho mbaya hilo lijinga yaan hapo linamuonea wivu dogo wa watu ndio maana kaandika tenankwa herufi kubwa ili ionekane ,ana roho ya kishetani kabisa huyo yash_ed ana wivu mbaya sana huyo
 
Ile ndege kuna uwezekano imetua engine zimezimwa, kama zingekuwa ON ile ndege wasingeikuta pale walipoikuta
 
Aiseee
 
Roho mbaya itakuua! Ndege ilishaanza kuingiza maji au unadhani ni kama yai lile kwamba lipo sealed?

Ubinafsi utawaua hiko kikosi cha uokoaji kingekuja saa ngapi? Huna hata aibu, anaekaa karibu na huyu bwana anichapie makofi mawili azinduke akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…