Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Kukaa kimya nalo pia ni jibu...unaandika vitu vitu vya hovyo kabisa.....ndege imeanguka saa 8:39 am majini....waokoaji wamefika eneo la tukio saa 12: 30 pm hivi ulitegemea nini mkuu.....
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Wivu huo
 
Haya Maneno yako nitayaamini tu Kama kweli na wwe ni mmoja wa abiria aliyenusurika kwenye hiyo ajali! La sivyo itakua tu ni porojo Kama porojo zingine!!
 
Daah aisee, kuna binadamu kama bata tu, hata uwalishe kokoto bado wataharisha tu.

Huyu mwamba kafungua mlango huku ikiwa tayari ndege walikuwa kwenye viti vya mbele tayari maji yamewafikia na wengine wakiwa kwenye harakati za kutaka kufungua mlango ndo yeye akafungua

Sasa wangefungua wenyewe abiria ungelaumu pia?
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Ila we Jamaa unateseka sanaaa
Muuwaji na kijana wawatu aliyatoa maisha yake na kufanikiwa kuokoa wengine.
Bila shaka mleta mada atakuwa kasha bokolewa nyuma ya kinyelo chake
 
Kwahiyo ww una akili kushinda serikali waliompatia ajira?
Serikali ya wajinga
JamiiForums1440156117.jpg
 
Wangeivuta na nini kama tangu saa mbili hadi saa 10 jioni wanavuta tu na kamba? Tena kijana apewe medali ya shujaa wa taifa siku ya kumbukumbu ya mashujaa.pia na aliokuwa nao waliosaidia kuokoa wapewe motisha wasiishie kwa huyo mmoja.maana siasa bwana wapigania uhuru walikuwa wengi lakini tunamkumbuka Nyerere tu.
 
Nitamsaidia mleta mada kama ifuatavyo: anafikiri kufunguliwa kwa mlango kuliongeza maji ndani ya ndege; hilo haliwezekani, maji yaliyoingilia mbele ya ndege baada ya kuvunjika pua, yalisambaa ndani ya ndege kufikia usawa wa maji ya nje. Kwa hivyo, kuvunjwa kwa mlango hakukuongeza ukubwa wa tatizo. Unaweza kufanya majaribio ukitaka kujiridhisha; chukua kopo, toboa upande mmoja halafu liingize kwenye beseni lililojaa maji ukiinamisha hilo kopo lako kwa mfano ule wa ndege ilivyokaa kwenye maji, angalia usawa wa maji ndani ya kopo na nje ya kopo.
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Sikiliza abiria waliokolewa unaambiwa maji yalijaa ata kabla mlango haujafunguliwa rejea interview za waliopona ni wale waliofunguliwa mlango
 
Nitamsaidia mleta mada kama ifuatavyo: anafikiri kufunguliwa kwa mlango kuliongeza maji ndani ya ndege; hilo haliwezekani, maji yaliyoingilia mbele ya ndege baada ya kuvunjika pua, yalisambaa ndani ya ndege kufikia usawa wa maji ya nje. Kwa hivyo, kuvunjwa kwa mlango hakukuongeza ukubwa wa tatizo. Unaweza kufanya majaribio ukitaka kujiridhisha; chukua kopo, toboa upande mmoja halafu liingize kwenye beseni lililojaa maji ukiinamisha hilo kopo lako kwa mfano ule wa ndege ilivyokaa kwenye maji, angalia usawa wa maji ndani ya kopo na nje ya kopo.
Asipoelewa na hapa
 
Makasiliko sasa yy ndo alidumbukiza ndege ziwani kilaza wewe
 
Back
Top Bottom