Billionaire wa Betting
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 1,086
- 2,179
Wivu ni uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umesikiliza interview ya mmoja aliyenusurika alikaa nyuma , anasema mbele kulianza kujaa maji hata kabla mlango haujafunguliwa
Muongo, umepotosha. Tatizo la kusoma taarifa nusunusu. Hakufanikiwa kuufungua mlango. Mshamba wewe na mchochezi!Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Mlango usingevunjwa wangekufa kwa kukosa hewa. Ndege haina mfumo wa kuingiza hewa ndani naturally...lazima engine ziwake ndo hewa iingie..it's obvious engine zilizima ndege ilipokuwa kwenye maji. Na pia ukiangalia Ile pua ya ndege ilivyoharibika lilikuwa ni suala la muda tu ndege ingejaa maji
Nadhani hana uelewa tu ila kama anajuwa nakuandika huu upuuzi naunga mkono hoja hawa watu hasara kwa taifa hili natumaini hajui tu na humu atajifunza na akijuwa ataona kuna mtu kafanya kitendo cha kushujaa sababu muhudumu wa ndege alikuwa anahangaika kufungua exit door kwa ndani piaNi mjinga Fulani ivii
Wakati akiyafanya hayo waokoaji walikuwa wapi?? Yule kijana hakufungua mlango Kwa kuipenda, Bali aliwakuta mahostess wakijaribu kufungua mlango ndo akawasaidia. Na Ile ndege ilikuwa ishaingiza maji kabla hajafungua mlango.Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Kwa hiyo maji yalianza kuingia baada ya mlango kufunguliwa?Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Injini zikiwashwa apu huzimwaHewa kwenye ndege haihitaji injini kuwaka, Kuna kitu kinaitwa Auxiliary Power Unit kama sio System, ni kama generator linakua mkiani kwenye ndege ndio hutoa umeme ndege ikiwa haijawasha injini. Utakumbuka mkiwa mnapandia kwenye ndege injini zinakua hazijawaka lakini umeme unakuwepo kwenye ndege.
Kwa hii kesi, maji yalianza kuingia Mara baada ya ndege kujipigiza kwenye maji.
kwani darasa la 7 wanapewaga smart phone za kazi gani sasa?! anyways Pre form one zinaanza soon tuwe wavumilivu!!!Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Hii ndege ni ilikua inavutwa hata kwa malori kadhaa, sio mikono au mitumbwi. Pale Airport kuna Gari za Faya zingetumika hata hizo ndege katolewa majini isingezidi hata lisaa limoja. Hapo ndio utobozi ungeanza.Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa