Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Kama maji yaliingia baada ya mlango kufunguliwa hao abiria 24 waliokolewa vipi?
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Unajua ww ni mpuuzi! Unatia hasira hata kwa wasiopenda kukasirika.
 
HUWEZI KUPATA SIFA NA KUONGO HUU......
 
Wewe ni jitu jinha sana una akili mbovu mno ndege ikizima engine oxygen inatoka wapi wakati mzunguko unategemea umeme? Yaani hili sio la kusikiliza aisee. Heri nusu shall kuliko shari kamili.
Anataka sifa lakini hajui azipate wapi, Mshamba sana jamaa....
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
...Una Chuki Binafsi na Kijana? Unatamani Ungekuja Wewe?? [emoji35]
Tumbaf!
 
Kunapotokea ajali mara nyingi kinachofuata huwa ni taharuki,kwahiyo hata maamuzi yanayofanywa na watu huwa mengi ni ya kubahatisha,utamtegemea kiongozi wa juu ataoe maamuzi wakati hata hana ujuzi wa uokozi,lakini kwakuwa ni kiongozi utamsikiliza wakati maamuzi yake yanaweza kuwa ndio chanzo cha kifo kwa wengine,katika matukio kama haya ndio maana kuna hitajika watu proffessional kwa ajili ya uokozi,wengine wote watabaki kutumia ubabe na maamuzi ya kubahatisha....
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Unajua kuvutwa pale ndege ilipopata ajali mpaka pale nchi kavu ilitumia muda gani? Na Wakati wanasubiria ndege kuvutwa je hewa wangepata wapi?
 
Wewe umesikiliza interview ya mmoja aliyenusurika alikaa nyuma , anasema mbele kulianza kujaa maji hata kabla mlango haujafunguliwa
Hili ajasikiliza Ni kumchafua kijana wa watu ambae mungu amemuongoza kufanya hvyo ,leo anamkashifu kumuita muuaji
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Ningekuwa karibu na wewe na bunduki ningetandika huo Ubongo wako ufe kabisa..
 
Injini zikiwashwa apu huzimwa
Na ndio hicho nilimaanisha kwamba APU haikua engaged Kwa vile ndege ilitua Kwa dharura kwenye maji huku injini zikiwa Bado zinawaka, na kama kuzima zilizima Kwa hitilafu.

APU inafanya kazi pale injini za ndege zinapokya off
 
Mwerevu anajifunza zaidi kwenye swali la kipumbavu kuliko mpumbavu anavyojifunza kwenye jibu la mwerevu..
Inshort ww ni mpumbavu
 
Ninacho shukuru yeye mwenyewee kaukimbia uzi wake

Shenzi kbsaa
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Acha roho mbaya. Hakuna hata mtu mmoja ameona hiko unachosema. Au wewe ndio yule ulimkataza huyo kijana kuvunja mlango wa rubani ili kumuokoa?
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Wewe huna akili. Kuvuta kumetumia masaa 5.Mlango usingefunguliwa hata wale 24 wasingepona.
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Kijana wa 'hovyo' ndie alikuwa wa kwanza kwenye uokozi, japo kuna kituo cha jeshi karibu na eneo hilo, pana boti za polisi na ajali imetokea kweupe, lakini vyombo vya ulinzi na usalama hawawezi kufika eneo mpaka kamati ya ulinzi na usalama ikae vikao na kutoa maamuzi.
 
Mtoa mada umekosea kutoa maneno hayo.
Yule dogo apongezwe kwa jitihada na nia ya kuokoa uhai wa watu hata jitihada zake zingesababisha vifo kwa wote lakini nia yake ilikuwa kuokoa uhai.
Sijaona hata chembe ya kosa kwa dogo maana hana utaalamu kama ulionao wewe wa kulinganisha mv bukoba iliyoundwa special kupita majini yenye uwezo wa kupambana na baadhi ya vitu vigumu hivyo bodi ni vumilivu tofauti na ndege.

Je pamoja na utaalamu wako wa majini na kuwa karibu na eneo la tukio uliweza kuizunguka ndege kukagua kama hakuna panapo ingiza maji unayoyasema kuingizwa na kijana aliyethubutu kuonyesha huruma kwa wahanga?

Je ndege kufungwa kamba na kuvutwa kwa mikono unaona ingeweza kushindana na uzito wa maji unayosema yalikuwa yanaingia kidogo.

Kuna mbinu yoyote ya kitaalamu kama wewe umeona ikitumika eneo la tukio, maana mpaka sasa ndege yenyewe bado haijafikishwa nchi kavu.

Unataka kutuambia dogo angakaa juu ya ndege akisikilizia mihangaiko ya watu ndani akisubiri hao wenye utaalamu wafike kumpatia ushauri wa namna ya kuokoa watu.

Kwa kweli dogo aliweza kufanya lililombele yake tunamshukuru Mungu lilionyesha mafanikioa hata lingefeli angepata shukrani kwa kujaribu, wenye utaalamu ndo hao wanaogopa kugusa maji.
 
Mbona marubani waliotulia ndani kusubiri uokoaji wakafa wote sasa vipi na wao kijana aliwapelekea maji?

Acheni ujuaji
Hata walio okolewa walihofia kuzama kulingana na wingi wao kwenye mtumbwi!
 
Back
Top Bottom