Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Nchi inaongozwa na Mapaka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada anajua ile ndege ilikuwa ni nyambizi, mjinga sana huyu mleta mada na ana wivu wa kikeYaan wewe ujuaji mwingi wakati huna unalo lijua ,ni wivu tu Ndio unakusumbua
Unaambiwa ndege baada ya kutumbukia kwenye majia upande wa mbele maji yalianza kuingia na abiria walio kaa siti za mbele walianza kufunikwa na maji huku wa nyuma wakihaha kujiokoa (hayo ni maneno ya abiria aliye okolewa baada ya kuvunjwa mlango) sasa wewe wa nje huko ambaye hata ndege yenyewe hujawahi panda unaleta ujuaji wako
ndio baadae baada ya mlango kuvunjwa wakaanza kutolewa maana yake bila mlango kuvunjwa wangekufa maji wengi zaid maana maji yalisha anza kuingia ndani kabla hata ya mlango kubunjwa.
Acha ujuaji na roho ya wivu kama mwenzio kapata usianze kumaagia kunguni kwa sababu za kuokoteza hiyo ni roho ya shetani kabisa uliyo nayo
Eti wangevuta ndege kwenye maji mengi kwa akili yako ilivyo ndogo unadhani ingeelea sindio? huna akili ingawa unajiona unajua kufikiri.
Wivu tuInasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
ili kungoja taratibu za uokoaji,
Hao 19 nahisi walishakufa kwa mshituko au walizimia wakat ndege imepiga chini mana kwa jinsi ilivozama ilipiga kwa mbele so impact yake lazma watu watakua walishakufa kwa mshituko mana unambiwa walikutwa wamefunga seat belt
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Wee jamaa ni mpumbavu sana...inamaana wewe una akili kupita watu wote walio shuhudia tukio hilo. Una akili sana kupita serikali iliyotambua thamani ya kazi yake. Pumbavu kabisa.Kipimo cha akili unakijua au unajisemesha kisa una smartphone ulonunuliwa na shemeji yako.
jamaa Hana akili hata kidogo,Hao abiria 26 wangepona bila huo mlango kufunguliwa ?
Unasema wangeivuta kwanza ? Seriously ? Kwa mda gani uliokuwepo na vyenzo gani ?
Akili hauna wewe
Kutokana na picha ile pua ya ndege ilipogonga ilikatika ndio ikaingiza majiInasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Kijana wa hovyo ni wewe ambaye ulikuwa unasubiri abiria wote wafe kwa pamoja kwa kukosa hewa kisa tu ndege isiharibiweInasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.
Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.
Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.
Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Kindly find attached file for your reference.....ndege kufanya crush kiasi cha kuua watu maana yake lazima ingekatika vipande viwili au zaidi ,heavy crush kwenye maji ukiwa kwenye speed madhara yangekuwa zaidi ya hayo tena kwa ndege ndogo...
ukiangalia ndege upande wa mbele haujakatika ila ni nose cover imetoka lakini frame ipo intact..
Mwandishi wa hii mada ndiye alizuia kioo kisivunjwe inavyoonekànaMnatuchanganya mara kijana alitoa msaada, mara aonekane yeye ndo kaingiza maji ndani, mbona kijana wakati akijojiwa anasema rubani alikuwa akimuelekeza avunje watoke ndo akazuiliwa na huyo mtu alokuwa pale?
Alafu ile ndege haikuwa mbali na nchi kavu inamaana kungekuwepo na vifaa vya uokoaji vya kisasa wangepona wengi.