Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

***** zako mleta uzi, siku zingine ndugu yako awepo kwenye ajali kama hiyo ndio utaelewa, Hivi hujui kua humo ndani watu walikua wakihangaika kutaka kufungua mlango na dogo ndio aliowasaidia?? wale waliokua kule mbele wengine walifariki kwa ile ndege tu kugonga kwa nguvu majini.
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Kajipange upya mkuu

azamtvtz-20221108-0001.jpg
 
Itoshe kusema mtoa mada ni mtu wa hovyo
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Itakuwa we ndo ulimzuia dogo kumuokoa rubani
 
Elewa kiswahili mkuu yalianza na huyo kijana wa hovyo aliyefungua mlango yeye ndo alienda kuyatoa hayo maji yaloanza kuingia au
Naona umekurupuka na hoja umeandika kwa utash wako na sio Uhalisia na uchunguzi kwa faida yako tu ndege ilikita kwenye maji kwa kuangalia kichwa chini mkia juu ikapinda na kuvunjika kichwa kias cha maji kuanza kujipenyeza kidogo kidogo ndio maji yakajaa
 
MLETA UZI NAPNDA KUSEMA KUWA UANAHARAKATI NA UJUAJI MWINGI HAUNA MAANA.... NDEGE SIO MELI.....!
 
Umejua kutuudhi,unaleta story za kijiweni hapa. Kwanza kuandika hujui
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Ushuzi
 
Elewa kiswahili mkuu yalianza na huyo kijana wa hovyo aliyefungua mlango yeye ndo alienda kuyatoa hayo maji yaloanza kuingia au
Inaonekana wewe hata ndege hujijui wewe mlango aliofungua kijana ni mlango wa nyuma sasa ufunguliwe mlango wa nyuma maji yaanze kujaa mbele wewe vp ziro nini?
 
Na hapo ukifuatilia unawez kukuta mleta uzi kama sio mwanafamilia ya majaliwa basi rafiki yake au mvuvi mwenzie maana wivu wa aina hii sidhani kama ni wa kutoka mbali na watu wake wa karibu.
mleta mada atakua ni askari wa kikosi cha uokoaji ambaye hajui kitu kuhus ndege, siku jaribu kujifungia kwenye godown ambalo hakuna hewa inayoingia wala kutoka alaf ukae ata dk 20 huone shughuli yake.
 
Hewa kwenye ndege haihitaji injini kuwaka, Kuna kitu kinaitwa Auxiliary Power Unit kama sio System, ni kama generator linakua mkiani kwenye ndege ndio hutoa umeme ndege ikiwa haijawasha injini. Utakumbuka mkiwa mnapandia kwenye ndege injini zinakua hazijawaka lakini umeme unakuwepo kwenye ndege.

Kwa hii kesi, maji yalianza kuingia Mara baada ya ndege kujipigiza kwenye maji.

nawe tuliza akili ndege imepatajali unajuaaje kama ilivyo kita katk ziwa haikujibamiza chini au kugonga mwamba? mpaka ulete hoja ya hiyo auxillary power system kua salama?
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Akili zako zinakaaga wapi?
 
Hao wakuivuta hiyo ndege walikuja saa ngapi mpaka baada ya ndege kuanguka? Marubani ambao hawakuvunjiwa kioo maji kuingia walipona wangapi?
 
"Hao abiria 26 wangepona bila huo mlango kufunguliwa ?

Unasema wangeivuta kwanza ? Seriously ? Kwa mda gani uliokuwepo na vyenzo gani ?

Akili hauna wewe"
Mleta uzi nahisi ndiye aliyemkataza Majaliwa kuvunja ili kuruhusu rubani atoke nje akiwa salama na pia huyu mleta uzi ndiye aliyetoa wazo la ndege ivutwe na kamba.
 
Back
Top Bottom