Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Kabla ya kukulaumu, kwa kuwa mimi si mtaalamu wa maswala ya anga, nilizama kujifunza ni kwa muda gani ndege inayoelea majini itaanza kuingiza maji?

Majibu niliyojipatia ni kuwa, ni kwa sekunde kadhaa tu maji yataanza kupata upenyo wa kuingia ndani ya ndege na kusababisha kuzama.

Kijana aliyevunja mlango alifanikisha uokozi wa watu 26 na 19 kufariki.

Hata kama alifanya kosa kwa namna ambayo wewe unajaribu kutuaminisha, idadi ya waliookolewa ni kubwa zaidi ya watu waliofariki. Bado kuna faida.

Acha upumbavu na roho ya husda kwa ushujaa aliofanya kijana Majaliwa.

Ukute upo huko ulipo unakuna pumbu zako zilizojaa fungus, alafu unaandika ushuzi wa namna hii. Mwana hayawani wewe.
 
Wewe umesikiliza interview ya mmoja aliyenusurika alikaa nyuma , anasema mbele kulianza kujaa maji hata kabla mlango haujafunguliwa

Nchi hii wachawi mpaka katika mambo ya kheri, huyu jamaa nadhani hajui ndege au hajawahi kupanda ndege, kitu cha kwanza maelekezo yanatolewa ya usalama kwenye emerg namna ya kufungua milango ya dharura watu wamehojiwa muda wa dakika chache tu maji yameshawafikia nusu watu wamesimama juu ya vitu wameanza kunywa maji alitaka wakae mpaka saa 10 jioni wavutwe nje?

Oxygen wangetoa wapi humo ndani maana na uhakika hawakuvaa oxygen mask wala maboya sababu hawakuandaliwa kutua katika maji japo ndio hatua za emrg landing sasa sijui nini kilitokea kwa pilot wakitoa blackbox wanaweza kujuwa na kuona njia ya ndege kwanini hakukuwa na emrg landing procedure. wangeshushiwa mask za oxygen lakini zingekuwa za muda tu.

Kukutwa maiti zina seat belt hii dalili hawa walifariki haraka hawakuwa na muda wala kujiandaa hasa waliokuwa mbele ni wazi walifariki palepale kwa maana maji yalijaa haraka sana kuwafunika ingekuwa maji taratibu ni hulka ya binadamu kupanic wanguvua mikanda na kuanza kusukumana kutafuta njia ya kutoka ila kwa mimi kwa hali hii kuwa wengi walikuwa na seatbelt inaniambia hawakujiandaa na maji yaliwafunika haraka sana hawakuwa na muda.
 
Muongo, umepotosha. Tatizo la kusoma taarifa nusunusu. Hakufanikiwa kuufungua mlango. Mshamba wewe na mchochezi!
 

Hewa kwenye ndege haihitaji injini kuwaka, Kuna kitu kinaitwa Auxiliary Power Unit kama sio System, ni kama generator linakua mkiani kwenye ndege ndio hutoa umeme ndege ikiwa haijawasha injini. Utakumbuka mkiwa mnapandia kwenye ndege injini zinakua hazijawaka lakini umeme unakuwepo kwenye ndege.

Kwa hii kesi, maji yalianza kuingia Mara baada ya ndege kujipigiza kwenye maji.
 
Wakati akiyafanya hayo waokoaji walikuwa wapi?? Yule kijana hakufungua mlango Kwa kuipenda, Bali aliwakuta mahostess wakijaribu kufungua mlango ndo akawasaidia. Na Ile ndege ilikuwa ishaingiza maji kabla hajafungua mlango.

Angeacha bila kufungua wangekufa wote sababu waliookolewa wanasema tayari walishaanza kunywa maji, wasikilize Kwa makini majeruhi
 
Kwa hiyo maji yalianza kuingia baada ya mlango kufunguliwa?
kwamba maji yalisubiri mlango ufunguliwe ndo yaanze kupita kuingia ndani, kwamba maji hayakuwa na uwezo wa kuingia ndani licha ya leakage zilizotokana na ndege kukita usawa wa pua?

Aiseee ujuaji mwingine jmn too much!
 
Nadhani Kijana angekuwa Mjinga kama wewe hata hao 19 wasingenusurika.
 
Mjitathimini mnaotumia nguvu kubwa kumlaumu mtu asiye jielewa tambua kuwa tangu kuhamia vitoto vya FB humu ndani tunapata tabu sana kupembua post za kuzisoma humu
 
Hali ingekuwa tofauti kama Ndege ingekuwa imelala kwa tumbo juu ya maji na kuelea, lakini ile ilikuwa imeingiza pua chini.

Kwa vyovyote ilikuwa imekita chini na kupasua sehemu kadhaa, na maji huwa hayasubiri kuambiwa "njoo hapa kuna upenyo".

Ni tofauti na kilichotokea kwa ile Boeng ya Marekani iliyotua Mto Hudson, ile ilibaki inaelea kwa muda mrefu kwani ilibaki imelala kwa tumbo juu ya maji hivyo abiria waliweza kutoka na kukaa kwenye mabawa.

 
Injini zikiwashwa apu huzimwa
 
kwani darasa la 7 wanapewaga smart phone za kazi gani sasa?! anyways Pre form one zinaanza soon tuwe wavumilivu!!!
 
Hii ndege ni ilikua inavutwa hata kwa malori kadhaa, sio mikono au mitumbwi. Pale Airport kuna Gari za Faya zingetumika hata hizo ndege katolewa majini isingezidi hata lisaa limoja. Hapo ndio utobozi ungeanza.

Lakini sababu akili huu haikuwepo basi wacha Kijana awe shujaa tu.
 
kupitia huyu Jasiri na shujaa Majaliwa, vijana mnapaswa mjifunze Uzalendo wa kulipigania Taifa letu la Tanzania wakati wowote mahali popote.

Kuna baadhi ya vijana ikitokea ajali badala ya kuokoa wahanga wao cha kwanza ni kuiba mali.....tuache unyama huo, tuwe binaadamu wenye huruma na uzalendo.

Majaliwa/Jasiri ni mfano wa kuigwa na kila kija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…