Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Mlango usingevunjwa wangekufa kwa kukosa hewa. Ndege haina mfumo wa kuingiza hewa ndani naturally...lazima engine ziwake ndo hewa iingie..it's obvious engine zilizima ndege ilipokuwa kwenye maji. Na pia ukiangalia Ile pua ya ndege ilivyoharibika lilikuwa ni suala la muda tu ndege ingejaa maji
Tujiandae na train za mwendokasi kwani nazo oxygen hupatikana kwanamna hiyo
 
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji.

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndiyo mlango ukafunguliwa.

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asiye na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo akafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege.

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia, ni jambo baya mno.
Hellooo? Is anyone home?? Is anything there?
20221108_214333.jpg
 
i
Mnatuchanganya mara kijana alitoa msaada, mara aonekane yeye ndo kaingiza maji ndani, mbona kijana wakati akijojiwa anasema rubani alikuwa akimuelekeza avunje watoke ndo akazuiliwa na huyo mtu alokuwa pale?

Alafu ile ndege haikuwa mbali na nchi kavu inamaana kungekuwepo na vifaa vya uokoaji vya kisasa wangepona wengi.
nawezekana aliyemzuia ndio huyu mwehu sababu anasema alikuwa karibu.
 
Mwenyezi Mungu ni mwema sana! Alimtumia huyo Kijana kuokoa baadhi ya Watu aliotaka wasife mle!
Lakini ni obvious yule Kijana asingefungu ule mlango haraka wote wangekufa maana Ndege yote ingejaa maji. Abiria wote wangekuwa ndani ya chupa iliyojaa maji!
Kingine dogo Majaliwa anasema alisikia watu wanagonga mlango kwa ndani (mlango ulikuwa umesha jam) maana mfumo wa Ndege ulisha zima!
Ikabidi avunje mlango wa emergence wa nyuma mkiani kwa Ndege haraka na watu 26 kati ya 43 wakapona!
Yawezekana waliokufa wengi walikuwa wamezimia kwa shock na maji yakawakuta na hivyo kufa kirahisi sana!
Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila jambo na hao waliotoka kwa dogo Majaliwa kuwa saidia ni wengi kwani wangekufa wote!
 
Kijana wa hovyo asiye na maarifa akavunja mlango. Hivi bado hqjakamatwa tu?
 
Back
Top Bottom