Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari kama hizi za mazayuni kupata taabu ikitokea wamepigwa hua zinakonga sana moyo wanguGazeti la Israel la Yedioth Acharnot: Shirika la Umeme la Israel lilitangaza kwamba Israel lazima ijiandae kwa siku ambayo mizozo ya kaskazini na Hezbollah itapanuka na uwekaji wa mitambo ya Israel, ikijumuisha mitambo ya gesi na umeme, ukilengwa, kwa sababu hii itasababisha maafa ya kiuchumi nchini humo.
Wanakumbi.
VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸
Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine.
Wiki kadhaa zimepita tangu kurejea kwa mapigano mapya pale Gaza mara baada ya makubaliano ya kusitisha kwa muda mapigano hayo kumalizika.
Tangu kurejea kwa mapigano mapya,
Ni takribani wiki kadhaa Jeshi la Israeli halijafanikiwa malengo yake Gaza pamoja na kubana vyombo vya habari kuifahamisha dunia wameishia kuwauwa waandishi hawa habari hapa Gaza kama wanavyouwa watoto na raia wasiokuwa na hatia yetote.
Kinyume na matarajio yao, awamu hii wamepata madhara makubwa kuliko kawaida ndiyi maana hadi Uongozi wa Jeshi lao umetangaza vifo pamoja na majeruhi wengi waliopatikana hivi karibuni uwa ni ngumu kutangaza mpaka wameamua kutangaza hesabu za kisiasa basi hali ni tete Gaza.
Taarifa hizi wala siyo propaganda, hatuandiki kuwafurahisha watu bali tunaleta uhalisia uliopo ambao ni ngumu kuupata mbele ya media zinazotawala dunia kama CNN, BBC, FOX NEWS na media zingine za magharibi.
Kwa nini Jeshi la Israeli linapata sana madhara kwenye operesheni ya nchi kavu pale Gaza?
Hamas wametawala na kutawanyika kila kona ya Gaza, kwa lugha rahisi unaweza kusema rada zao zinawachora tu wanajeshi wa taifa teule.
Kila hatua ambayo wanajeshi wa Israeli wanadiriki kuipiga kwa kuingia Gaza, ni kama vile wanakuwa wameingia kwenye tanuri la moto.
Kubwa zaidi ni mbinu hatari inayotumiwa na Hamas katika kupambana na wanajeshi wa Israeli.
Jamaa wameweka Wadunguaji (Snipers) kwenye maeneo mbalimbali ya Gaza, kila hatua moja ambayo wanajeshi wa Israeli wanaipiga, wanapoteza wanajeshi wengi sana na wengi wamebaki vilema vya maisha.
Ndiyo maana hivi karibuni idadi ya vifo vyao imeongezeka kuliko kawaida.
Ogopa sana kwenda kufanya vurugu kwenye uwanja wa nyumbani wa adui yako, wenzako wanayajua machaka ambayo wakijificha wewe huwezi kuyajua, ndicho kinachowakuta wanajeshi wa Israeli kwa sasa.
Wadunguaji wa Hamas wamejificha na Mashine zao, jamaa wakitoka tu kwenye vifaru vyao, wanachapwa za vichwa kisha Hamas wanapotea kama mizimu.
Huo ndo uhalisia uliopo pale Gaza, nadhani sasa utakuwa umepata picha kamili.
Wanachofanya sasa hivi ni hasira kufanya mashambulizi holela hawajui malengo ya vita ni yapi.
Hii leo ….
View: https://x.com/warintel4u/status/1738853337477300353?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
sasa marekani aivamie yemen akapoteze pesa zake kwa kipi wakati yemen yenyewe jangwa tupu, we unafikiri mzungu anapiga tu bila sababu?Vita ya siku hizi imebadilika sana..siyo ile ya kizamani can you imagine Mmarekani na coallition yake wameogopa kuivamia Yemen. Vita ya siku hizi unapiga na mtu usiyemjua..watu wanakusakizia week oponent ukiingia kichwa kichwa kumbe kuna watu wenye nguvu nyuma yake. Jeshi la Israel lipo overated ni jeshi ambalo linaweza kupambana na mtu alitefungwa kamba mikono yote na siyo mtu anayeweza rudisha mapigo, same to marekani na wenzake.