Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

Huwa najiuliza sana kwa nini Mazayuni meusi ya Bonyokwa na Mbezi kwa msuguli yanapiga hata ukweli? Harafu yapo mengi kuzidi wa Tel Aviv.
Kwasababu ukweli kwa mazayuni ni dhambi kubwa
 
Wanakumbi.

VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸

Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine.

Wiki kadhaa zimepita tangu kurejea kwa mapigano mapya pale Gaza mara baada ya makubaliano ya kusitisha kwa muda mapigano hayo kumalizika.

Tangu kurejea kwa mapigano mapya,

Ni takribani wiki kadhaa Jeshi la Israeli halijafanikiwa malengo yake Gaza pamoja na kubana vyombo vya habari kuifahamisha dunia wameishia kuwauwa waandishi hawa habari hapa Gaza kama wanavyouwa watoto na raia wasiokuwa na hatia yetote.

Kinyume na matarajio yao, awamu hii wamepata madhara makubwa kuliko kawaida ndiyi maana hadi Uongozi wa Jeshi lao umetangaza vifo pamoja na majeruhi wengi waliopatikana hivi karibuni uwa ni ngumu kutangaza mpaka wameamua kutangaza hesabu za kisiasa basi hali ni tete Gaza.

Taarifa hizi wala siyo propaganda, hatuandiki kuwafurahisha watu bali tunaleta uhalisia uliopo ambao ni ngumu kuupata mbele ya media zinazotawala dunia kama CNN, BBC, FOX NEWS na media zingine za magharibi.

Kwa nini Jeshi la Israeli linapata sana madhara kwenye operesheni ya nchi kavu pale Gaza?

Hamas wametawala na kutawanyika kila kona ya Gaza, kwa lugha rahisi unaweza kusema rada zao zinawachora tu wanajeshi wa taifa teule.

Kila hatua ambayo wanajeshi wa Israeli wanadiriki kuipiga kwa kuingia Gaza, ni kama vile wanakuwa wameingia kwenye tanuri la moto.

Kubwa zaidi ni mbinu hatari inayotumiwa na Hamas katika kupambana na wanajeshi wa Israeli.

Jamaa wameweka Wadunguaji (Snipers) kwenye maeneo mbalimbali ya Gaza, kila hatua moja ambayo wanajeshi wa Israeli wanaipiga, wanapoteza wanajeshi wengi sana na wengi wamebaki vilema vya maisha.

Ndiyo maana hivi karibuni idadi ya vifo vyao imeongezeka kuliko kawaida.

Ogopa sana kwenda kufanya vurugu kwenye uwanja wa nyumbani wa adui yako, wenzako wanayajua machaka ambayo wakijificha wewe huwezi kuyajua, ndicho kinachowakuta wanajeshi wa Israeli kwa sasa.

Wadunguaji wa Hamas wamejificha na Mashine zao, jamaa wakitoka tu kwenye vifaru vyao, wanachapwa za vichwa kisha Hamas wanapotea kama mizimu.

Huo ndo uhalisia uliopo pale Gaza, nadhani sasa utakuwa umepata picha kamili.

Wanachofanya sasa hivi ni hasira kufanya mashambulizi holela hawajui malengo ya vita ni yapi.

Hii leo ….

View: https://x.com/warintel4u/status/1738853337477300353?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

3,000 Israeli Soldiers Have Become Permanently Disabled: Israeli Media

By Al Mayadeen English

22 Dec 2023

As of December 9, the number of IOF soldiers who have been injured since the start of the operation Al-Aqsa Flood has reached 5000.

Israeli broadcaster Channel 12 revealed on Friday that 3,000 Israeli Occupation Forces (IOF) soldiers who sustained injuries as a result of the ongoing Israeli aggression on Gaza have been classified among those with "permanent disabilities in the army."

According to the news broadcaster, the number of IOF soldiers wounded since October 7 has reached 5,000 as of December 9.
 
Wanakumbi.

VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸

Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine.

Wiki kadhaa zimepita tangu kurejea kwa mapigano mapya pale Gaza mara baada ya makubaliano ya kusitisha kwa muda mapigano hayo kumalizika.

Tangu kurejea kwa mapigano mapya,

Ni takribani wiki kadhaa Jeshi la Israeli halijafanikiwa malengo yake Gaza pamoja na kubana vyombo vya habari kuifahamisha dunia wameishia kuwauwa waandishi hawa habari hapa Gaza kama wanavyouwa watoto na raia wasiokuwa na hatia yetote.

Kinyume na matarajio yao, awamu hii wamepata madhara makubwa kuliko kawaida ndiyi maana hadi Uongozi wa Jeshi lao umetangaza vifo pamoja na majeruhi wengi waliopatikana hivi karibuni uwa ni ngumu kutangaza mpaka wameamua kutangaza hesabu za kisiasa basi hali ni tete Gaza.

Taarifa hizi wala siyo propaganda, hatuandiki kuwafurahisha watu bali tunaleta uhalisia uliopo ambao ni ngumu kuupata mbele ya media zinazotawala dunia kama CNN, BBC, FOX NEWS na media zingine za magharibi.

Kwa nini Jeshi la Israeli linapata sana madhara kwenye operesheni ya nchi kavu pale Gaza?

Hamas wametawala na kutawanyika kila kona ya Gaza, kwa lugha rahisi unaweza kusema rada zao zinawachora tu wanajeshi wa taifa teule.

Kila hatua ambayo wanajeshi wa Israeli wanadiriki kuipiga kwa kuingia Gaza, ni kama vile wanakuwa wameingia kwenye tanuri la moto.

Kubwa zaidi ni mbinu hatari inayotumiwa na Hamas katika kupambana na wanajeshi wa Israeli.

Jamaa wameweka Wadunguaji (Snipers) kwenye maeneo mbalimbali ya Gaza, kila hatua moja ambayo wanajeshi wa Israeli wanaipiga, wanapoteza wanajeshi wengi sana na wengi wamebaki vilema vya maisha.

Ndiyo maana hivi karibuni idadi ya vifo vyao imeongezeka kuliko kawaida.

Ogopa sana kwenda kufanya vurugu kwenye uwanja wa nyumbani wa adui yako, wenzako wanayajua machaka ambayo wakijificha wewe huwezi kuyajua, ndicho kinachowakuta wanajeshi wa Israeli kwa sasa.

Wadunguaji wa Hamas wamejificha na Mashine zao, jamaa wakitoka tu kwenye vifaru vyao, wanachapwa za vichwa kisha Hamas wanapotea kama mizimu.

Huo ndo uhalisia uliopo pale Gaza, nadhani sasa utakuwa umepata picha kamili.

Wanachofanya sasa hivi ni hasira kufanya mashambulizi holela hawajui malengo ya vita ni yapi.

Hii leo ….

View: https://x.com/warintel4u/status/1738853337477300353?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

‘We Can’t Defeat Hamas’ – Israel’s Former Army Chief on the Gaza War

December 9, 2023

Former Deputy Chief of Staff of the Israeli Army, Yair Golan, expressed his view that Israel will not be able to eliminate Hamas in the ongoing war in Gaza.

‘We Can't Defeat Hamas’ - Israel’s Former Army Chief on the Gaza War
 
Ndugu zangu Mnajipa moyo wa Bure tu. HAMAS huko gaza anapigwa kama panya. Yaani akibahatisha kurekodi tukio moja mawili ndio inakuwa sherehe na kutuma kila sehemu. Ila IDF wanafanikiwa sana kwenye operation yao, Na ndio maana hata HAMAS Wanalilia kila siku ceasefire.

HAMAS is being destroyed vibaya sana. Muda aliotumia kujijenga anaona kabisa akiipoteza gaza kwa PLO
 
Sasa wewe upo Chanika unatuambia Hamas anapigwa kama Panya bila ushahidi wowote wa picha au video Waisrael weusi wana roho ngumu sana kuzidi wa Tel Aviv.
Weka ushahidi kama huu.
 
Attachments

  • twidown.mp4
    1.1 MB
🛑 Al-Qassam (Hamas)

Wapiganaji wetu walipambana, jana usiku, na vikosi vya IOF katika eneo la Sufa, kaskazini mwa Gaza City, kwa muda wa saa 6 mfululizo, wakitumia bunduki aina ya Yassin 105s, vifaa vya kulipuka vya "Shoaz" na TBG.

Helikopta za Kizayuni ziliingilia kati kuokoa vikosi vyao.
 
Back
Top Bottom