Kazi nzuri mpk mizayuni ikimbieZamani tuliaminishwa kuwa jeshi la israel ni hatari nakumbuka Waziri Mkuu wa Israel, Waziri wa Ulinzi kabla vita yale maneno yao unaweza kukimbia.
Walisema wanaenda kufuta Hamas na itakuwa mfano kundi lolote aliwezi kuisongelea Israel lakini tumeona kinyume chake….
Israeli military vehicle in Gaza…
Hiyo Jeep hajatoka mtu daaah
View attachment 2851485
Mpaka leo hii wamekufa 48 soldiers, na makumi kujeruhiwaWanakumbi.
VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸
Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine.
Wiki kadhaa zimepita tangu kurejea kwa mapigano mapya pale Gaza mara baada ya makubaliano ya kusitisha kwa muda mapigano hayo kumalizika.
Tangu kurejea kwa mapigano mapya,
Ni takribani wiki kadhaa Jeshi la Israeli halijafanikiwa malengo yake Gaza pamoja na kubana vyombo vya habari kuifahamisha dunia wameishia kuwauwa waandishi hawa habari hapa Gaza kama wanavyouwa watoto na raia wasiokuwa na hatia yetote.
Kinyume na matarajio yao, awamu hii wamepata madhara makubwa kuliko kawaida ndiyi maana hadi Uongozi wa Jeshi lao umetangaza vifo pamoja na majeruhi wengi waliopatikana hivi karibuni uwa ni ngumu kutangaza mpaka wameamua kutangaza hesabu za kisiasa basi hali ni tete Gaza.
Taarifa hizi wala siyo propaganda, hatuandiki kuwafurahisha watu bali tunaleta uhalisia uliopo ambao ni ngumu kuupata mbele ya media zinazotawala dunia kama CNN, BBC, FOX NEWS na media zingine za magharibi.
Kwa nini Jeshi la Israeli linapata sana madhara kwenye operesheni ya nchi kavu pale Gaza?
Hamas wametawala na kutawanyika kila kona ya Gaza, kwa lugha rahisi unaweza kusema rada zao zinawachora tu wanajeshi wa taifa teule.
Kila hatua ambayo wanajeshi wa Israeli wanadiriki kuipiga kwa kuingia Gaza, ni kama vile wanakuwa wameingia kwenye tanuri la moto.
Kubwa zaidi ni mbinu hatari inayotumiwa na Hamas katika kupambana na wanajeshi wa Israeli.
Jamaa wameweka Wadunguaji (Snipers) kwenye maeneo mbalimbali ya Gaza, kila hatua moja ambayo wanajeshi wa Israeli wanaipiga, wanapoteza wanajeshi wengi sana na wengi wamebaki vilema vya maisha.
Ndiyo maana hivi karibuni idadi ya vifo vyao imeongezeka kuliko kawaida.
Ogopa sana kwenda kufanya vurugu kwenye uwanja wa nyumbani wa adui yako, wenzako wanayajua machaka ambayo wakijificha wewe huwezi kuyajua, ndicho kinachowakuta wanajeshi wa Israeli kwa sasa.
Wadunguaji wa Hamas wamejificha na Mashine zao, jamaa wakitoka tu kwenye vifaru vyao, wanachapwa za vichwa kisha Hamas wanapotea kama mizimu.
Huo ndo uhalisia uliopo pale Gaza, nadhani sasa utakuwa umepata picha kamili.
Wanachofanya sasa hivi ni hasira kufanya mashambulizi holela hawajui malengo ya vita ni yapi.
Hii leo ….
View: https://x.com/warintel4u/status/1738853337477300353?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Umeingiza faida kiasi gani kwa bandiko hili? Kumbuka kesho xmass .... na wapalestina wanaomba poo ili wapate mahitaji muhimu
RabaikaView attachment 2851869
Source: Aljazeera
Abu Obaida, The spokesman of the clerics of the brigades:
[emoji839]Mujahideen managed to destroy 35 military machines in whole or in part and killed 48 zionist soldiers and injured dozens in the last 4 days [emoji839]Mujahideen carried out 24 military missions, including zero-range clashes and bombarded headquarters and field command rooms with mortar missiles and short term missiles during the past four days.
Kwa msaada wa Google [emoji116]
Abu Obaida, Msemaji wa maulama wa brigedi:
[emoji839]Mujahidina alifanikiwa kuangamiza mashine 35 za kijeshi zikiwa nzima au sehemu yake na kuua wanajeshi 48 wa Kizayuni na kujeruhi makumi katika siku 4 zilizopita
[emoji839]Mujahidina walifanya kazi 24 za kijeshi zikiwemo mapigano ya masafa sifuri na kushambulia makao makuu. na vyumba vya amri vya shamba vilivyo na makombora ya chokaa na makombora ya muda mfupi katika siku nne zilizopita.
AL HAMDULILLAH
Source: @Aljazeeramubasher
Na ww umeingiza faida kiasi gani kwa kusoma kwako na kucoment kwako kwenye hili bandiko?Umeingiza faida kiasi gani kwa bandiko hili? Kumbuka kesho xmass .... na wapalestina wanaomba poo ili wapate mahitaji muhimu
Remarking on the latest Israeli troop deaths, Mr Netanyahu said: "This is a difficult morning, after a very difficult day of fighting in Gaza."Wanakumbi.
VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸
Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine.
Wiki kadhaa zimepita tangu kurejea kwa mapigano mapya pale Gaza mara baada ya makubaliano ya kusitisha kwa muda mapigano hayo kumalizika.
Tangu kurejea kwa mapigano mapya,
Ni takribani wiki kadhaa Jeshi la Israeli halijafanikiwa malengo yake Gaza pamoja na kubana vyombo vya habari kuifahamisha dunia wameishia kuwauwa waandishi hawa habari hapa Gaza kama wanavyouwa watoto na raia wasiokuwa na hatia yetote.
Kinyume na matarajio yao, awamu hii wamepata madhara makubwa kuliko kawaida ndiyi maana hadi Uongozi wa Jeshi lao umetangaza vifo pamoja na majeruhi wengi waliopatikana hivi karibuni uwa ni ngumu kutangaza mpaka wameamua kutangaza hesabu za kisiasa basi hali ni tete Gaza.
Taarifa hizi wala siyo propaganda, hatuandiki kuwafurahisha watu bali tunaleta uhalisia uliopo ambao ni ngumu kuupata mbele ya media zinazotawala dunia kama CNN, BBC, FOX NEWS na media zingine za magharibi.
Kwa nini Jeshi la Israeli linapata sana madhara kwenye operesheni ya nchi kavu pale Gaza?
Hamas wametawala na kutawanyika kila kona ya Gaza, kwa lugha rahisi unaweza kusema rada zao zinawachora tu wanajeshi wa taifa teule.
Kila hatua ambayo wanajeshi wa Israeli wanadiriki kuipiga kwa kuingia Gaza, ni kama vile wanakuwa wameingia kwenye tanuri la moto.
Kubwa zaidi ni mbinu hatari inayotumiwa na Hamas katika kupambana na wanajeshi wa Israeli.
Jamaa wameweka Wadunguaji (Snipers) kwenye maeneo mbalimbali ya Gaza, kila hatua moja ambayo wanajeshi wa Israeli wanaipiga, wanapoteza wanajeshi wengi sana na wengi wamebaki vilema vya maisha.
Ndiyo maana hivi karibuni idadi ya vifo vyao imeongezeka kuliko kawaida.
Ogopa sana kwenda kufanya vurugu kwenye uwanja wa nyumbani wa adui yako, wenzako wanayajua machaka ambayo wakijificha wewe huwezi kuyajua, ndicho kinachowakuta wanajeshi wa Israeli kwa sasa.
Wadunguaji wa Hamas wamejificha na Mashine zao, jamaa wakitoka tu kwenye vifaru vyao, wanachapwa za vichwa kisha Hamas wanapotea kama mizimu.
Huo ndo uhalisia uliopo pale Gaza, nadhani sasa utakuwa umepata picha kamili.
Wanachofanya sasa hivi ni hasira kufanya mashambulizi holela hawajui malengo ya vita ni yapi.
Hii leo ….
View: https://x.com/warintel4u/status/1738853337477300353?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Si haba.View attachment 2851869
Source: Aljazeera
Abu Obaida, The spokesman of the clerics of the brigades:
🔻Mujahideen managed to destroy 35 military machines in whole or in part and killed 48 zionist soldiers and injured dozens in the last 4 days 🔻Mujahideen carried out 24 military missions, including zero-range clashes and bombarded headquarters and field command rooms with mortar missiles and short term missiles during the past four days.
Kwa msaada wa Google 👇
Abu Obaida, Msemaji wa maulama wa brigedi:
🔻Mujahidina alifanikiwa kuangamiza mashine 35 za kijeshi zikiwa nzima au sehemu yake na kuua wanajeshi 48 wa Kizayuni na kujeruhi makumi katika siku 4 zilizopita
🔻Mujahidina walifanya kazi 24 za kijeshi zikiwemo mapigano ya masafa sifuri na kushambulia makao makuu. na vyumba vya amri vya shamba vilivyo na makombora ya chokaa na makombora ya muda mfupi katika siku nne zilizopita.
AL HAMDULILLAH
Source: @Aljazeeramubasher
Umeingiza faida kiasi gani kwa bandiko hili? Kumbuka kesho xmass .... na wapalestina wanaomba poo ili wapate mahitaji muhimu
Hahahhaa si mwanzo walisema vita itakuwa ya muda mfupi kisha Gaza wataikalia wao leo tena vita vya muda mrefu. Halafu usiwe punguani Mungu amekupa Akili pambanua mambo.Remarking on the latest Israeli troop deaths, Mr Netanyahu said: "This is a difficult morning, after a very difficult day of fighting in Gaza."
But he said his forces would continue with "full force until the end", reiterating his goals of eliminating Hamas and ensuring the safe return of hostages held in Gaza.
"Let it be clear: this will be a long war," the Israeli prime minister added.
The military's 154th death was announced later that day: tank commander Maj Aryeh Rein.
In a separate statement, the military said it had killed more than 8,000 Palestinian fighters during its campaign to date .
Hizo namba 154 vs 8000 umeziona lakini?Hahahhaa si mwanzo walisema vita itakuwa ya muda mfupi kisha Gaza wataikalia wao leo tena vita vya muda mrefu. Halafu usiwe punguani Mungu amekupa Akili pambanua mambo.
Israel walisema wanaenda kupigana na Hamas lakini cha ajabu wamawau raia 8000 hawajasema Hamas wanauwa Wapelestina 😂 soma hii
View: https://x.com/megatron_ron/status/1738975692161728673?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hamna akili magaidi ya kiislamuZamani tuliaminishwa kuwa jeshi la israel ni hatari nakumbuka Waziri Mkuu wa Israel, Waziri wa Ulinzi kabla vita yale maneno yao unaweza kukimbia.
Walisema wanaenda kufuta Hamas na itakuwa mfano kundi lolote aliwezi kuisongelea Israel lakini tumeona kinyume chake….
Israeli military vehicle in Gaza…
Hiyo Jeep hajatoka mtu daaah
View attachment 2851485
Uongo mtupu ,View attachment 2851869
Source: Aljazeera
Abu Obaida, The spokesman of the clerics of the brigades:
🔻Mujahideen managed to destroy 35 military machines in whole or in part and killed 48 zionist soldiers and injured dozens in the last 4 days 🔻Mujahideen carried out 24 military missions, including zero-range clashes and bombarded headquarters and field command rooms with mortar missiles and short term missiles during the past four days.
Kwa msaada wa Google 👇
Abu Obaida, Msemaji wa maulama wa brigedi:
🔻Mujahidina alifanikiwa kuangamiza mashine 35 za kijeshi zikiwa nzima au sehemu yake na kuua wanajeshi 48 wa Kizayuni na kujeruhi makumi katika siku 4 zilizopita
🔻Mujahidina walifanya kazi 24 za kijeshi zikiwemo mapigano ya masafa sifuri na kushambulia makao makuu. na vyumba vya amri vya shamba vilivyo na makombora ya chokaa na makombora ya muda mfupi katika siku nne zilizopita.
AL HAMDULILLAH
Source: @Aljazeeramubasher
Ndio mkuu tunafurahi sana hata Allah Allah mwenyewe karidhia nakuomba poo.Na ww umeingiza faida kiasi gani kwa kusoma kwako na kucoment kwako kwenye hili bandiko?
Au unaingiza sh ngapi unapo chekelea mauaji wa watoto wadogo?