Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

Kweli vita imebadilika Marekani anamuogopa Yemen.!!!! Wakati huo huo Iran mfadhili wa Yemen anamuogopa Israel ambaye anafadhiliwa na Marekani.
 
Bado napata wasiwasi na story ya Israel kuokoa mateka Entebe na Vita ya siku Sita na mataifa ya kiarabu. Inawezekana Kagaza kadogo vile na mateka wapo humohumo na mpaka sasa hawajafanikiwa kuwaokoa??
Hahahaha ilikuwa kamba ile hamna kitu story ya kutengeneza.
 
Haina shida ila kumbuka haya maneno uliyo yaandika ipo siku utahitajika kuyatolea ufafanuzi mbele ya mungu wako.
 
uharo mtupu.
 
Propaganda zenu zitawamaliza wote, wala hizo propaganda zenu hazifanya IDF kuwasamehe, mlivimba kichwa sana oktoba 7 leo mko wapi????? Israel Bahrain aise wacha mtembezewe mkong'oto
 
Propaganda zenu zitawamaliza wote, wala hizo propaganda zenu hazifanya IDF kuwasamehe, mlivimba kichwa sana oktoba 7 leo mko wapi????? Israel Bahrain aise wacha mtembezewe mkong'oto
Muisrael Mweusi wa Njombe hataki kukubali hivi kwa nini Waisrael weusi uwa wanakuwa na uchungu kuzidi wa Tel Aviv, wewe endelea kupiga lakini Waisrael wenyewe wanapokea kila siku mifuko ya maiti.


View: https://x.com/mylordbebo/status/1738931601684193422?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Fact
 
Mkuu hakuna vita visivyo kuwa na hasara! Kikubwa ni kupata ushindi tu.
Vita vya Israel na Hamas havikuanza Leo.
Na hata hivi Vita vya Sasa vitachukua muda mrefu kuliko unavyofikiria!
 
Hiyo page ya Israel ya propaganda tu uwa nacheka sana ndiyo unachukulia data hapo😂 hata siku moja hawajahi kusema mwajeshi wa Israel kafa angalia mambo haya.
⚡️Yedioth Ahronoth: In the first hours of the October 7th attack, the Nahal Brigade lost the entire leadership hierarchy, including the brigade commander, a unit commander, a deputy unit commander, and the commander of one of the brigade’s three companies, in addition to 14 soldiers.

View: https://x.com/me_observer_/status/1739163951580037177?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
uimara wa hamas, hamas kutumia raia kama ngao, hamas wameweka mitego mingi ambayo waisrael hawaijui, kugundua hapa kuna handaki lazima kugarimu maisha ya wanajeshi kadhaa wa israel, na Israel kuona huruma kufyeka kile kitu akihofia dunia itasema ameua raia wengi mno. ilikuwa apige tu bom na kutindua hadi chini na handaki zingeonekana wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…