Mimi sipo pwani wala sijawahi kufika mimi zangu Karatu. Weka ushahidi kwa Hamas wamekufa wengi unataka tujadili porojo zako na hisia zako? Kama IDF wenyewewe hawajsema wewe hizo habari umezipata wapi?hamas wamekufa wengi san apia ndugu, usijitoe ufahamu. hata hivyo mashoga mmejaa pwani huko, huku bara hayo mambo hatuna. safisha kwanza dini yako ili uwe na haki kutukana wengine mashoga. kwenu yamejaa kibao.
unaambiwa idadi ya vilema inazidi ongezeka...mbon wataondoka hao bila kuagaWanakumbi.
VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸
Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine.
Wiki kadhaa zimepita tangu kurejea kwa mapigano mapya pale Gaza mara baada ya makubaliano ya kusitisha kwa muda mapigano hayo kumalizika.
Tangu kurejea kwa mapigano mapya,
Ni takribani wiki kadhaa Jeshi la Israeli halijafanikiwa malengo yake Gaza pamoja na kubana vyombo vya habari kuifahamisha dunia wameishia kuwauwa waandishi hawa habari hapa Gaza kama wanavyouwa watoto na raia wasiokuwa na hatia yetote.
Kinyume na matarajio yao, awamu hii wamepata madhara makubwa kuliko kawaida ndiyi maana hadi Uongozi wa Jeshi lao umetangaza vifo pamoja na majeruhi wengi waliopatikana hivi karibuni uwa ni ngumu kutangaza mpaka wameamua kutangaza hesabu za kisiasa basi hali ni tete Gaza.
Taarifa hizi wala siyo propaganda, hatuandiki kuwafurahisha watu bali tunaleta uhalisia uliopo ambao ni ngumu kuupata mbele ya media zinazotawala dunia kama CNN, BBC, FOX NEWS na media zingine za magharibi.
Kwa nini Jeshi la Israeli linapata sana madhara kwenye operesheni ya nchi kavu pale Gaza?
Hamas wametawala na kutawanyika kila kona ya Gaza, kwa lugha rahisi unaweza kusema rada zao zinawachora tu wanajeshi wa taifa teule.
Kila hatua ambayo wanajeshi wa Israeli wanadiriki kuipiga kwa kuingia Gaza, ni kama vile wanakuwa wameingia kwenye tanuri la moto.
Kubwa zaidi ni mbinu hatari inayotumiwa na Hamas katika kupambana na wanajeshi wa Israeli.
Jamaa wameweka Wadunguaji (Snipers) kwenye maeneo mbalimbali ya Gaza, kila hatua moja ambayo wanajeshi wa Israeli wanaipiga, wanapoteza wanajeshi wengi sana na wengi wamebaki vilema vya maisha.
Ndiyo maana hivi karibuni idadi ya vifo vyao imeongezeka kuliko kawaida.
Ogopa sana kwenda kufanya vurugu kwenye uwanja wa nyumbani wa adui yako, wenzako wanayajua machaka ambayo wakijificha wewe huwezi kuyajua, ndicho kinachowakuta wanajeshi wa Israeli kwa sasa.
Wadunguaji wa Hamas wamejificha na Mashine zao, jamaa wakitoka tu kwenye vifaru vyao, wanachapwa za vichwa kisha Hamas wanapotea kama mizimu.
Huo ndo uhalisia uliopo pale Gaza, nadhani sasa utakuwa umepata picha kamili.
Wanachofanya sasa hivi ni hasira kufanya mashambulizi holela hawajui malengo ya vita ni yapi.
Hii leo ….
View: https://x.com/warintel4u/status/1738853337477300353?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
mfuasi wa mudi na al hussein una vituko sana namba hizo zimekufanya unatoa lugha chafu, migaidi ya hamas zaidi ya 8,000 ishawahishwa kuzimu jiulize pia mbona migaidi inakufwa sana na hapo inajificha hospital refugees camps mashule nyumba za ibada hospital n.kwewe punnguani kweli jeshi linashambulia watoto unajisifia wambie mabwana zako waonyeshe hata maiti moja ya Hamas.. kama vile Hamas wanavyo onyesha kama hivi…
Punguani peke yake ndiyo anawezamfuasi wa mudi na al hussein una vituko sana namba hizo zimekufanya unatoa lugha chafu, migaidi ya hamas zaidi ya 8,000 ishawahishwa kuzimu jiulize pia mbona migaidi inakufwa sana na hapo inajificha hospital refugees camps mashule nyumba za ibada hospital n.k
We kweli umepagawa hamasi kamatiweni hapohapoPunguani peke yake ndiyo anaweza
Kuamini huu uharo uliondika wale watoto 10,000 walikuwa wanajeshi wa Hamas? Hizo namba zako ulizoandika mimi za nini unaweza hata kuandika tumeuwa Hamas laki mbili hamna shida🤣 shida ipo utakapowambiwa maiti zao zipo wapi? Unajua namba maiti hamna. Akili mavi
⚡️MUHIMU: Sasisho la Yahya Sinwar, kwa mkuu na wanachama wa ofisi ya kisiasa ya Hamas:We kweli umepagawa hamasi kamatiweni hapohapo
Nani kakuambia hawafi Hamasi na Hezbullah watu wao wakifa wanawatangaza tena majina yao, lazima mfahamu Hamasi na Hezbullah wanaona sifa kutangaza maiti zaoHivi kwenye hii vita Hamas hawafi? Maana Israel ikishambulia utasikia anaua vitoto vichanga na wanawake
Israeli newspaper “Yediot Ahronot”:Nani kakuambia hawafi Hamasi na Hezbullah watu wao wakifa wanawatangaza tena majina yao, lazima mfahamu Hamasi na Hezbullah wanaona sifa kutangaza maiti zao
Sio mabwege hao waisrael wanaficha sa wanaficha nini,na wakati video za Hamasi wanawarecord kabisa namna wanavyo wasafisha 😄
Safi sana, wataondoka tu ardhi yetu mashetani haowewe punnguani kweli jeshi linashambulia watoto unajisifia wambie mabwana zako waonyeshe hata maiti moja ya Hamas.. kama vile Hamas wanavyo onyesha kama hivi…
🔻🇵🇸 Vikosi vya Al-Qassam: Tulilenga shehena ya wanajeshi wa Kizayuni kwa sheli ya Al-Yassin 105, kaskazini mwa mji wa Khan Yunis.Safi sana, wataondoka tu ardhi yetu mashetani hao