Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

hamas wamekufa wengi san apia ndugu, usijitoe ufahamu. hata hivyo mashoga mmejaa pwani huko, huku bara hayo mambo hatuna. safisha kwanza dini yako ili uwe na haki kutukana wengine mashoga. kwenu yamejaa kibao.
Mimi sipo pwani wala sijawahi kufika mimi zangu Karatu. Weka ushahidi kwa Hamas wamekufa wengi unataka tujadili porojo zako na hisia zako? Kama IDF wenyewewe hawajsema wewe hizo habari umezipata wapi?


View: https://x.com/sprinter99800/status/1739200178064613498?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanakumbi.

VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸

Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine.

Wiki kadhaa zimepita tangu kurejea kwa mapigano mapya pale Gaza mara baada ya makubaliano ya kusitisha kwa muda mapigano hayo kumalizika.

Tangu kurejea kwa mapigano mapya,

Ni takribani wiki kadhaa Jeshi la Israeli halijafanikiwa malengo yake Gaza pamoja na kubana vyombo vya habari kuifahamisha dunia wameishia kuwauwa waandishi hawa habari hapa Gaza kama wanavyouwa watoto na raia wasiokuwa na hatia yetote.

Kinyume na matarajio yao, awamu hii wamepata madhara makubwa kuliko kawaida ndiyi maana hadi Uongozi wa Jeshi lao umetangaza vifo pamoja na majeruhi wengi waliopatikana hivi karibuni uwa ni ngumu kutangaza mpaka wameamua kutangaza hesabu za kisiasa basi hali ni tete Gaza.

Taarifa hizi wala siyo propaganda, hatuandiki kuwafurahisha watu bali tunaleta uhalisia uliopo ambao ni ngumu kuupata mbele ya media zinazotawala dunia kama CNN, BBC, FOX NEWS na media zingine za magharibi.

Kwa nini Jeshi la Israeli linapata sana madhara kwenye operesheni ya nchi kavu pale Gaza?

Hamas wametawala na kutawanyika kila kona ya Gaza, kwa lugha rahisi unaweza kusema rada zao zinawachora tu wanajeshi wa taifa teule.

Kila hatua ambayo wanajeshi wa Israeli wanadiriki kuipiga kwa kuingia Gaza, ni kama vile wanakuwa wameingia kwenye tanuri la moto.

Kubwa zaidi ni mbinu hatari inayotumiwa na Hamas katika kupambana na wanajeshi wa Israeli.

Jamaa wameweka Wadunguaji (Snipers) kwenye maeneo mbalimbali ya Gaza, kila hatua moja ambayo wanajeshi wa Israeli wanaipiga, wanapoteza wanajeshi wengi sana na wengi wamebaki vilema vya maisha.

Ndiyo maana hivi karibuni idadi ya vifo vyao imeongezeka kuliko kawaida.

Ogopa sana kwenda kufanya vurugu kwenye uwanja wa nyumbani wa adui yako, wenzako wanayajua machaka ambayo wakijificha wewe huwezi kuyajua, ndicho kinachowakuta wanajeshi wa Israeli kwa sasa.

Wadunguaji wa Hamas wamejificha na Mashine zao, jamaa wakitoka tu kwenye vifaru vyao, wanachapwa za vichwa kisha Hamas wanapotea kama mizimu.

Huo ndo uhalisia uliopo pale Gaza, nadhani sasa utakuwa umepata picha kamili.

Wanachofanya sasa hivi ni hasira kufanya mashambulizi holela hawajui malengo ya vita ni yapi.

Hii leo ….

View: https://x.com/warintel4u/status/1738853337477300353?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

unaambiwa idadi ya vilema inazidi ongezeka...mbon wataondoka hao bila kuaga
 
unaambiwa idadi ya vilema inazidi ongezeka...mbon wataondoka hao bila kuaga
Wengi mno majuzi Netanyahu aliwatembelea hospital wengine wakakata kuongea naye.
 

Attachments

  • IMG_8457.jpeg
    IMG_8457.jpeg
    81.7 KB · Views: 1
🇵🇸TAMKO RASMI LA HAMAS: SINWAR ADAI ASKARI 1,500+ WAMEUAWA.

"Vikosi vya Izz al-Din al-Qassam vinapigana vita vikali, vikali na visivyo na kifani dhidi ya vikosi vya Israel vinavyokalia kwa mabavu, na jeshi linalokalia kwa mabavu lilipata hasara kubwa ya maisha na vifaa.

Vikosi vya Qassam vililenga wanajeshi na maafisa wasiopungua 5,000 wakati wa vita vya ardhini, theluthi moja kati yao waliuawa, theluthi nyingine kujeruhiwa vibaya, na theluthi ya mwisho wakiwa na ulemavu wa kudumu, lakini kwa kiwango cha mifumo ya kijeshi, 750 kati yao waliharibiwa. kati ya uharibifu kamili na sehemu.

Vikosi vya Al-Qassam vimelisambaratisha jeshi lililokaliwa kwa mabavu, na wako kwenye njia ya kulivunja, na hawatakuwa chini ya masharti ya"

Chanzo: Hamas TG - Yahya Al-Sinwar
 

Attachments

  • IMG_8519.jpeg
    IMG_8519.jpeg
    42.4 KB · Views: 1
wewe punnguani kweli jeshi linashambulia watoto unajisifia wambie mabwana zako waonyeshe hata maiti moja ya Hamas.. kama vile Hamas wanavyo onyesha kama hivi…
mfuasi wa mudi na al hussein una vituko sana namba hizo zimekufanya unatoa lugha chafu, migaidi ya hamas zaidi ya 8,000 ishawahishwa kuzimu jiulize pia mbona migaidi inakufwa sana na hapo inajificha hospital refugees camps mashule nyumba za ibada hospital n.k
 
mfuasi wa mudi na al hussein una vituko sana namba hizo zimekufanya unatoa lugha chafu, migaidi ya hamas zaidi ya 8,000 ishawahishwa kuzimu jiulize pia mbona migaidi inakufwa sana na hapo inajificha hospital refugees camps mashule nyumba za ibada hospital n.k
Punguani peke yake ndiyo anaweza
Kuamini huu uharo uliondika wale watoto 10,000 walikuwa wanajeshi wa Hamas? Hizo namba zako ulizoandika mimi za nini unaweza hata kuandika tumeuwa Hamas laki mbili hamna shida🤣 shida ipo utakapowambiwa maiti zao zipo wapi? Unajua namba maiti hamna. Akili mavi
 
Punguani peke yake ndiyo anaweza
Kuamini huu uharo uliondika wale watoto 10,000 walikuwa wanajeshi wa Hamas? Hizo namba zako ulizoandika mimi za nini unaweza hata kuandika tumeuwa Hamas laki mbili hamna shida🤣 shida ipo utakapowambiwa maiti zao zipo wapi? Unajua namba maiti hamna. Akili mavi
We kweli umepagawa hamasi kamatiweni hapohapo
 
We kweli umepagawa hamasi kamatiweni hapohapo
⚡️MUHIMU: Sasisho la Yahya Sinwar, kwa mkuu na wanachama wa ofisi ya kisiasa ya Hamas:

• Vikosi vya Al-Qassam vinashiriki katika vita vikali, vikali, na ambavyo havijawahi kushuhudiwa dhidi ya vikosi vya IOF, na kusababisha hasara kubwa katika maisha na vifaa vyao kwa jeshi linalokalia.

• Al-Qassam ililenga wanajeshi/maafisa wasiopungua 5,000 wakati wa mapigano ya ardhini, na kusababisha 1/3 kuuawa, 1/3 kujeruhiwa vibaya, na 1/3 iliyobaki na ulemavu wa kudumu. Kuhusu magari ya kijeshi, 750 kati yao yaliharibiwa, ama kabisa au sehemu.

• Al-Qassam wamelisambaratisha jeshi la Israeli, wakiendelea na njia ya kuivunja, na hawatasalimu amri kwa masharti ya kukaliwa kwa mabavu.
 

Attachments

  • IMG_8520.jpeg
    IMG_8520.jpeg
    46.8 KB · Views: 2
2 weeks without any progress of the Israeli army in Gaza

For the last 2 weeks, the IDF penetration has completely stopped. They have not advanced an inch.

Moreover, they suffered huge losses in men and equipment, especially in their command pyramid, where they lost a huge number of officers.

Disagreements also started in the leadership's political circles, where there were big quarrels at the meeting yesterday.

The President of Israel then called for the situation to be calmed because that way the enemy is being helped.
 
Hivi kwenye hii vita Hamas hawafi? Maana Israel ikishambulia utasikia anaua vitoto vichanga na wanawake
Nani kakuambia hawafi Hamasi na Hezbullah watu wao wakifa wanawatangaza tena majina yao, lazima mfahamu Hamasi na Hezbullah wanaona sifa kutangaza maiti zao

Sio mabwege hao waisrael wanaficha sa wanaficha nini,na wakati video za Hamasi wanawarecord kabisa namna wanavyo wasafisha 😄
 
Nani kakuambia hawafi Hamasi na Hezbullah watu wao wakifa wanawatangaza tena majina yao, lazima mfahamu Hamasi na Hezbullah wanaona sifa kutangaza maiti zao

Sio mabwege hao waisrael wanaficha sa wanaficha nini,na wakati video za Hamasi wanawarecord kabisa namna wanavyo wasafisha 😄
Israeli newspaper “Yediot Ahronot”:



Mashambulizi ya Hezbollah yaliharibu mamia ya nyumba na kusababisha uharibifu wa mabilioni ya dola kwa zaidi ya makazi 20 ya Waisraeli kwenye mpaka wa Lebanon.

Imeripotiwa pia katika vyombo vya habari vya Israel kuwa Wizara ya Fedha ya utawala ghasibu wa Israel ilipendekeza kufungwa kwa wizara 10 za utawala huu kutokana na kuongezwa matumizi ya kijeshi.
 
Netantanyahu na wenzake wanadhani ukiwa na makonteda ya mabomu umemaliza vita vita ni ushujaa angalia mfano huyu Mwanajeshi wa Hamas kapoteza mguu wake vitani lakini bado anapigana ogopa sana hawa watu.
 

Attachments

  • IMG_8456.jpeg
    IMG_8456.jpeg
    79.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom