Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

Kuna Kitu Mungu anatupitisha Katika Maisha Yetu kama Fumbo. Ukiwa kijana Mdogo ukamaliza Chuo halafu ukapata Hela Nyingi lakini Bado akili yako ni Ya Ujana Utakufa Kifo Kibaya sana..

Nimeona Vijana Wengi wakipata Kazi Baada tu ya Kuamaliza Chuo na kuanza kulipwa mil 1 kuendelea

1. Wanunuzi wakubwa wa Iphone na Laptop za Apple
2. Atapanga Nyumba ya Laki 2 kwa Mwezi (apartment)
3. Atanunua TV nchi 65
4. Makochi yake ya Ndani mil 1.5
5. Ataanza Kutafita Subaru au IST ya Kutambia Mjini
6. Pub na Viwanja Vingi vitakuwa Vyake
7. Mademu wengi atagonga

Maisha Haya Yote ni kutokana na Kutokuwa na Experience ya Kukosa Kazi au Kukosa Hela... Exposure ya Maisha Hawana Vijana ,hawajawahi Ishi Maisha Ya Shida wakajua Thamani ya Pesa Waipatayo ...Vijana Tubadilike
 
Kwanza pole sana kufiwa halijawahi kuwa jambo rahisi.
Hawa wanaoleta mzaha wasamehe,
Nimehuzunika kama nakuona maana najua kufiwa,
Asiku danganye mtu kufiwa kuna uma.
Kama inawezekana badili mazingira utafute marafiki wapya usikae mwenyewe muda mwingi. Pole sana.
 
Ulivyoenda kuanza form one Ihungo ?Maana huko Bukoba HIV ilitawala.
 
Kuna Kitu Mungu anatupitisha Katika Maisha Yetu kama Fumbo. Ukiwa kijana Mdogo ukamaliza Chuo halafu ukapata Hela Nyingi lakini Bado akili yako ni Ya Ujana Utakufa Kifo Kibaya sana....

Upo sahihi mkuu.

Maisha hayo yanatuondoa sana vijana.

Hao jamaa zangu wa big four walikuwa na hela sana enzi hizo. CPA walizipata mapema.. wakawa wanapiga sana dili za nje za kufungia watu mahesabu
 
Kwahyo mtazamo wako unaamini Mungu hayupo ?

Kwa ninavyoamini mimi Mungu hayupo.

Najua imani juu ya Mungu imetokana na maandiko ya zamani. Biblia , quran etc

Maandiko hayo ni hadithi za watu walijaribu kushape jamii zao kwa kucontroll akili za watakaoamini.

Lakini hadithi hizo si za kweli kabisa.

Hakuna Mungu, Hakuna shetani

Ila kuna watu walioandika hadithi kwa kuumba viumbe hivyo vya kufikirika.

Kama huyo Mungu mwenye maguvu ameshindwa kumuondoa duniani Shetani wakati kamuumba yeye sisi binadamu tunaweza vipi kukaboliana na Shetani ?

Mungu ni powerless na fiction, yaani ni hadithi za juma na uledi
 
Elias wa tosa au sio..mwamba aliacha chuo udsm..anyway

Tumia ndom kaka.
 
Hii mwenzenu naona ni chai iliyowekwa dalasini, hizi mambo za likes na votes hapa JF zitatumaliza. Ila mkuu ulisahau kuweka na tangawizi kidogo ili inoge chai.
 
Ooh ok
 

Elias kihombo atakuwa au mbona kama nimeshakujua wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…