Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Acha wenge na kukurupuka fuatulia conversation na huyo jamaaSio kweli mkuu kwamba TB ni dalili ya HIV,bali ni sahihi mwenye HIV anapata TB kirahisi kwa sababu mwili wake una upungufu wa kinga hivyo kupelekea magonjwa mengi kumuandama ikiwemo TB
Na si kwamba kila mwenye TB basi ana HIV
Na TB inatobika na mgonjwa anapona kabisa
Mkuu ume jam sana au ndio ushapata Streptococcus Meningitis [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]..maana ndio mana nime quotes eti kwa maelezo yako unasema TB ilipelekea HIV ....tangu lini TB ndio inaanza??We ndo mjinga TB ni moja ya dalili ya HiV
HIV maana yake ni ukosefu wa kinga mwilini na unapelekea upate magonjwa mengine kirahisi kama TB
Mimi nilishawah uguza mgonjwa wa TB cha kwanza kabisa hospitalini walimpima ukimwi
Ila tuache utani! Kukojoa ndani kuna raha yake japo ngoma sio poa"Ukipata UKIMWI ufe na wakuzike huko huko wasikulete nyumbani kabisa"
Huu ni mkwara wa bi mkubwa (RIP) alionipiga wakati nakwenda kuanza kidato cha kwanza sehemu moja iliyokuwa na UKIMWI hatari. Maneno haya sijayasahau mpaka leo na nilishasema kuwa nitakuja kupata UKIMWI kwa njia ambazo ziko nje ya uwezo wangu.
➡️➡️ Usiishi kwa hofu bali kula bata lakini kwa tahadhari. Na usiuze mechi hata kama pisi ni nzuri kuliko malaika!
Wenye ndoa ndio wengi wameungua kizembe kabisa ,na hakuna kitu utafanya zaidi ya kumeza njugu mawe.Pole mkuu, hujaoa kwani
Vijana tukiwaambia wachane na ngono hawataki wacha wafe tuu na hiv watuache wazee tunadunda mtaani 🤣🤣🤣🤣Habari wadau.
Ukweli mchungu najiona nina tatizo la kisaikolojia.
Binafsi chuo nilisoma Mzumbe enzi zile za division one tupu ndio wanapata admission.
Nikiwa chuo nilipata marafiki wengi sana ila hawa watatu wameniathiri kisaikolojia. Mmoja aliitwa Nelson mwingine Frank na mwingine Abdul.
Nelson alikuwa anasomea uhasibu kozi yake ilikuwa maarufu sana kwa vichwa wanaita BAF, Nelson ndie alikuwa best students wa masomo ya biashara kidato cha sita. Alipewa zawadi kwa kuongoza nchi nzima masomo hayo.
Frank alikuwa anasoma Law na yeye alikuwa kichwa sana.
Na Abdul nae alikuwa anasoma BAF na yeye alikuwa vizuri sana darasani.
Baada ya kumaliza chuo nelson alipata kazi kampuni maarufu za uhasibu wanaziita big four.. then akahamia TRA.
Frank alipata kazi baada ya chuo kama mkufunzi ama lecture wa chuo kimoja cha uma maarufu
Abdul na yeye alipata kazi Big four nyingine.. tofauti na ile alienda nelson.
Mimi pia nilipata kazi bank moja maarufu siitaji jina.
Baada ya chuo maisha yalikuwa bata sana maana marafiki wote tulikuwa jijini dar es salaam. Kila siku tunakutana tunakula bata sana siku za weekend.. maana tulipanga nyumba maeneo jirani.
Kwa ufupi marafiki zangu wote walifariki vifo vilivyofuatana.. ndani ya miaka mitano wakaondoka wote na kuniacha mpweke.
Alianza nelson alifariki kwa ini kufeli baada ya kupata hepatitis B
Akaja abdul na yeye alifariki kwa TB ambayo ilisababisha na HIV
Wa mwisho kabisa akawa Frank na yeye alifariki kwa bacteria kwenye ubongo waliosabishwa na HIV complications.
Nje ya hao Pia nilikuwa na rafiki yangu mwingine mwalimu nilijuana nae wakati ananifundisha Physics A level anaitwa Elias Na yeye na yeye akaja kufariki kwa sababu zinazosemekana ni HIV complications.
Ukweli vifo hivyo vya jamaa zangu vimeniathiri sana kisaikolojia.
Nimekuwa na huzuni sana na uoga mkubwa sana. Najiona Naogopa madem sana mpaka napitiliza.
Na raha ya kugegeda ni nyama to nyama...condom ni sawa na kupiga nyeto tuuendeleeni kuwagegeda hao warembo kavukavu, wala msiogope
Yupo kwa mfungo hazi kuonekana jf kwa sasa
Ivii unaeza vimba umemlaa demu kwa ndomu kweli seriously 🤣🤣sawa na kumchungulia.Kumla vitu viumaneee wazeee!Na raha ya kugegeda ni nyama to nyama...condom ni sawa na kupiga nyeto tuu
Punguza ujinga dogo ,nimeshika sana pesa ...Ndio maana nikakuambia wewe ni wale washamba .Inaonekana bado ni kijana mdogo usiyejua maisha ni nini alafu unaonekana hujawahi shika fedha nyingi kwenye maisha yako
Sikulaumu
Mfano Kuna watu ni wastaarabu ila wenzao wao wamewaletea ukimwi utawalaumu na kuwaita washamba
Kwanini usi olewe naye tuu ukamtuliza hofu moja kwa moja mtoto wa mtu. Ili awe ana chomeka na kuchomoa kwa amani na utulivu. Fanya hivyo MkuuAcha mawazo hayo mara moja...
Aliwazalo mjinga ndilo humtokea...
Kifo kipo ila maisha lazima yaendelee...
Enjoy ila kuwa makini.
NB: Sijakutuma ukachomeke na kuchomoa
A kupunguza makali si zipo lakini. Mbona wengine wana ishi tuu.Hiyo kitu ukiikuta kwa ndugu yako ana harisha,vidonda mdomoni, homa mara kwa mara, hana hamu ya kula, kikohozi kisichoisha
Hata stori za MMU hutatamani.
Utasogeza sogeza siku lakini hiyo stage kwenye maisha yako hauto iruka kamwe.....it is there waitingDawa z
A kupunguza makali si zipo lakini. Mbona wengine wana ishi tuu.
So ina fika muda dawa haifanyi kazi tena ndiyo zina anza complications si ndiyo Mkuu ?!Utasogeza sogeza siku lakini hiyo stage kwenye maisha yako hauto iruka kamwe.....it is there waiting
Naungana na mawazo yako.Punguza ujinga dogo ,nimeshika sana pesa ...Ndio maana nikakuambia wewe ni wale washamba .
Soma kwanza uelewe Walivyopata UKIMWI ,ugonjwa huo kwa zinaa unapata watu wasiojielewa hata usemeje HIV inapata watu weny uwezo mdogo kwa kushinda kujicontrol ,kuendeshwa na tamaa.
Pesa haikai kwa washamba kama wewe ,mwishoe unakufa kwa magonjwa ya aibu.
Mtu mweny pesa anaweza kupeleka watu wakala bata ila yeye hawezi ,bata kwa watoto kama nyie under 35 years
Kunywa dawa daily bila kupona is not a jokeSo ina fika muda dawa haifanyi kazi tena ndiyo zina anza complications si ndiyo Mkuu ?!