Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Okay nilidhani ni kama Jamaa yangu tulisoma nae, kuna siku alituambia wana mfanyakazi mzungu (Sijui hio Work Permit ya kuja kufanya kazi za ndani alipewa na Nani)...

Anyway to each their own......
Siku hizi watuw ana wafanyakazi waphilipino hahahahahaah
 
Ettiennes hakuna ghitifa kurushwa. Mtu akafa.

Labda aliuliwa akatupwa hapo.

Nimecheza disco kwa Mgiriki hapo miaka 1970 - 73.
Kwani hiyo hetel iko wapi labda nime changanya majina, ila nayo isema iko huku Town kama sijui maeneo ya Billicans or ile Margott maeneo hao, isije kuwa nime changanya naile ya kule Ocean Road pake jirani na petroil station kwa Manji seaview
 
Sisi uswahilini yetu ilikuwa ukienda pale Msasani bondeni au Mandazi road, ndio tunajiona tumefika uswahilini.
 
Mkuu una roho safi sana.

Ukiwa na kijiba cha roho unajiumiza mwenyewe tu.

Kitu muhimu ni kufanya kazi kuboresha hali yako, kutengeneza mazingira mazuri kwa watoto na wanaokufuatia, na ukishindwa kabisa ukubali hali yako kwa roho safi bila kujisikia unyonge, maisha ni zaidi ya nafasi katika jamii na utajiri.

Shaaban Robert hakuwa mtoto wa Oysterbay lakini kuna watoto wa Oysterbay kibao wamesoma katika shule iliyopewa jina lake.

Kwa nini? Alikuwa na mchango mkubwa katika literature ya Kiswahili kwa namna ambayo hakuna mtoto wa Oysterbay aliyefikia.

Labda unaweza kusema huyo wa zamani sana.

Diamond Platnumz hajasoma sana, hata Kiingereza hajui vizuri, lakini hakujisikia unyonge, kajikubali, kajiongeza, leo hakuna mtoto wa Oysterbay anayejulikana dunia nzima kama Diamond Platnumz, mtoto wa Tandale sijui Mbagala huko LeMutuz alikuwa anapaita maswekeni.

Rapper Rakim aliwahi kusema "It's not where you're from, it's where you're at".

Hapa tunapiga stories tu kukumbushana tulivyokua, majirani, kukumbuka waliotangulia mbele kwa kifo, mpaka majirani walioishi next door wanajuana, hatuna nia ya kumfanya mtu mwingine ajisikie mdogo na sisi tuliokulia Oysterbay kuwa zaidi.

Kwa kiasi kikubwa nafasi za kukulia huko zimekuja na bahati fulani, ambayo mtu yeyote angeweza kuipata, na wengine baba zetu wamezipata, ingawa na wao walipozipata hizo bahati wengi wao hawakuzilazia damu, hawakuogopa umande.

Mfano huyo Malecela aliyekuwa Waziri Mkuu wakoloni walikuja kwa Chifu Mazengo kutaka kuwasomesha watoto wa Chifu Mazengo, Chifu Mazengo akakataa watoto wake kusomeshwa na wakoloni.

Wakoloni wakaenda pembeni kwa baba yake Malecela kumuomba wasomeshe watoto wake, ndiyo John Malecela na Job Lusinde wakapata nafasi kusoma.

Ina maana yule Chief Mazengo angekubali watoto wake wasomeshwe na wakoloni, leo labda huyo Malecela tusingemjua.

Na huko ndiko Watanzania karibu wote tumetoka, ukichunguza hata kama familia ina wasomi sana utakuta kuna sehemu huko nyuma kulikuwa na pure chance event imewapa the edge.

So, mara nyingine ni vijimambo vya maisha tu vinatoa nafasi, si kwamba watu wanatamba kwamba wana uwezo zaidi.
 
Nonsense. Why exactly him? There was a whole bunch of useless, entitled, fucked up brats living free out of their parents’ government rental properties in Masaki and Oysterbay, including yourself? Kwahiyo unataka kusema Makwatta alikuwa a random victim of such a savage and senselesds murder sababu tu alikuwa anaishi Masaki/Oysterbay?
 
Sisi uswahilini yetu ilikuwa ukienda pale Msasani bondeni au Mandazi road, ndio tunajiona tumefika uswahilini.
Umesahau story za Msasani ukikatisha unatembe ukitetemeka , sasa sijui tulitetemeka nini wakati huo ahata kukabwa au kuporwa kulikua hakuna au lada nime sahau
 
Sasa matusi tena? Kweli maumivu ni makali, yes alikua targeted kama wewe unavyo umia kusikia ushuani .
 
Basi na dhani huyo mzee hapo alihama hiyo late 70's na labda mzee wako akaja hamia, Huyo mzee baade kipindi cha Mkapa akaja kuwa waziri kitu kama waziri wa fedha au biashara .
Huyu alikye kuwa kabla ya nye hapo anaitwa Mporogonyi nadhani alikuwa waziri wakati wa Mkapa
 
Uko sawa brother exposure na network support ilifamya mtu uwe bwege sana kufeli, mfano mdogo tu Dr. Kambi aliyekuwa mganga mkuu aliyeondolewa kazini na JPM alikuwa mmoja wapo kitaa pale kaunda.
 
Sisi uswahilini yetu ilikuwa ukienda pale Msasani bondeni au Mandazi road, ndio tunajiona tumefika uswahilini.
Mnapelekwa na Banzi na crew yaje ya Namanga.

Mnaenda kula ice cream Kimicho Namanga.

Na kuazima mikanda ya movies VHS Oysterbay Video Library.

Halafu mnaambiwa mkimaliza kuangalia tafadhali rewind [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa matusi tena? Kweli maumivu ni makali, yes alikua targeted kama wewe unavyo umia kusikia ushuani .
Bora ume admit possibly alikuwa targeted. Haya mambo wewe unayachukuliq kijuujuu tu. Umekuja na swali, halafu cha ajabu mahali umeishia kujijibu mwenyewe. Kunbe jibu ulikuwa nalo all along? Simply amazing.
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…