Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

We jamaa[emoji119]
 
Nilimjua Judy halaf Mapinduzi , Mapinduzi ndio alikua mshkaji wangu sana , mdau humu kani hakikishia kamba Mapinduzi alifariki na niliwahi sikia ila ilikua sina uhakika ,Azimia kama jina nalikumbuka itabidi nimtafute huyo .
 
Huyu Kyaro alikua jamaa wa PSU?
 
Nilimjua Judy halaf Mapinduzi , Mapinduzi ndio alikua mshkaji wangu sana , mdau humu kani hakikishia kamba Mapinduzi alifariki na niliwahi sikia ila ilikua sina uhakika ,Azimia kama jina nalikumbuka itabidi nimtafute huyo .
Ndiyo. Mapinduzi ni marehemu sasa.
 
..vipi kuhusu kupotea kwa mke wa mzee joseph namata.

..joseph namata aliwahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi wa serikali.

..nadhani ndio wa kwanza mzalendo.
 
Mkuu shkamoo!! I'm humbled in Lemutuz voice. RIP
 
Nani anakumbuka siku Nigga One alivyofariki kwenye ajali ya gari?

Kwanza wangapi humu wanajua Nigga One ni nani?
Nakumbuka huyo rapper siku sikuwa naye close , ila nilikuw anamuona na kina Mossy kinamna fulani , Siku hiyo nadhani tulikua kwenye harusi ya Peter Rupia , Masaki, ndio tukasikia hiyo habari kwamba , Nigger one kafariki na demu wake kwenye ajali walikau wana toka kama Bills nadhani .
Sikumbuki vizuri ila nakumbuka alikua ana soam IST na Kama walihamia toka somewhere waka hamia kama maeneo ya huku Morogoro stores jirani na kina Robert Mwingira .
 
..vipi kuhusu kupotea kwa mke wa mzee joseph namata.

..joseph namata aliwahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi wa serikali.

..nadhani ndio wa kwanza mzalendo.
Aisee hiyo case siku wahi ifahamu na huyo Mr Namata alikuwa anakaa mtaa gani?
 
Naam, Adili [Nigga One] alikuwa anasoma IST.

Back then I had a crush on his sister.
 
..sijui alikuwa akiishi mtaa upi, lakini ni hukohuko Oysterbay.

..waulize wazee wako wanaweza kuwa wanafahamu tukio hilo.
OK, labda Oysterbay ya karibuni au ya zamani sana , sikuwahi mfahamu huyo Mzee wala watoto wake na wala kusikai case mke wa Mzee wa Obay akapotea, ila kama kuna kitu na waza kinataka kufanana na famili moja sina uhakika , nitaulizia.
 
ooh , hiyo Kyaro kumbe ni a nickname
Yeah hapa mengine kwa code watu bado wana kazi zao.

PSU hapo kulikuwa na baba Ben Mashiba.

Sasa hivi kapewa ubalozi.Mara ya mwisho alikuwa Malawi, nafikiri kastaafu sasa.

Huyu Uncle wakati niko mdogo aliniambia huyu Ali Hassan Mwinyi anakuja kuwa rais wetu. Mara paap, Mwinyi kawa rais kweli.
 
Yeah hapa mengine kwa code watu bado wana kazi zao.

PSU hapo kulikuwa na baba Ben Mashiba.

Sasa hivi kapewa ubalozi.

Huyu Uncke aliniambia huyu Mwinyi anakuja kuwa rais wenu. Mara paap, Mwinyi kawa rais kweli.
Huyu Mashiba lazima ajue kwasababu alikua close na Kigogo mmoja wa Idara ambaye mipango ya kumuanda Mwinyi ilikua toka huko 2000 , kipindi kile Omar Ali Juma kafariki teari Mwinyi ilikua ina jualikana kwa wao kwama ana kuja kuwa lol
 
Hiyo ilikuwa early 1980s wakati Aboud Jumbe kaondolewa urais Zanzibar baada ya mchafuko wa hali ya hewa ya kisiasa halafu Mwinyi akawekwa kuwa "rais wa muda" Zanzibar.

Ndiyo Ben Mashiba akasema huyu jamaa anakwenda kuwa rais wa Tanzania.

Nyerere alikuwa anampenda sana Mashiba.Mashiba alikuwa ana uwezo mkubwa sana wa kukaa macho bila kulala na Nyerere naye alikuwa anakesha anasikiliza BBC.
 
Duh sikujua alikuwa powerful hivyo , mimi nilimchukilia tuu kama Uncle Mashiba lol .ok, nilidhani una mzungumzia huyu DR Mwiny wa ZNZ now, huyo ndio in 2000 wali kua wana muandaa kuja kuwa raisi wa Znz now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…