Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Watu hawaelewi kwamba popote ulipo katika maisha utakuwa na watu uliowazidi na waliokuzidi.

Na kuwa na roho safi ni kujifunza waliokuzidi wamekuzidi vipi, kutowaonea wivu, kufanya kazi uwafikie, na ukishindwa kuridhika na hali yako, na kusaidia uliowazidi wanaostahili kusaidiwa kadiri ya uwezo wako.

Everything is relative. Hiyo Oysterbay yenyewe ukiilinganisha na The Hamptons ni slum tu.

Kwa standards za utajiri wa dunia, Watanzania ukitoa familia chache sana, wote tuligawana umasikini tu, ila katika hao masikini wengine walikuwa na afadhali kidogo, wengine walielimika kidogo, wengine walikuwa na resources kujua waende wapi kujiongeza.

Sasa kugombana ya nini?
We jamaa[emoji119]
 
Kama unamjua Judy, Vicky, Mapinduzi, Richard….basi hata Azimio utakuwa unamjua 😀

Azimio yupo mitaa ya karibu na Kitambaa Cheupe….siku hizi yeye ni mtu wa Double Kick tu.

Huyo hapo kaishika 🤣🤣😀

View attachment 2677497

Dunia ndogo sana hii. Idadi kubwa ya watu mnaowaongelea humu nawajua 😀🙈🙈.
Nilimjua Judy halaf Mapinduzi , Mapinduzi ndio alikua mshkaji wangu sana , mdau humu kani hakikishia kamba Mapinduzi alifariki na niliwahi sikia ila ilikua sina uhakika ,Azimia kama jina nalikumbuka itabidi nimtafute huyo .
 
Hahaaa,

Mkuu wewe unamjua. Hilo jina la maskani kabisa wewe unazijua code.

Jamaa alikuwa anakuja maskani na Benzi la Ikulu.

Kiaro yuko wapi sijui siku hizi. Mara ya mwisho niliongea naye alikuwa Nairobi kwenye deal zake.

Kuna siku mshkaji wetu mmoja alikuwa na daladala lake, basi likakamatwa na Polisi. Likawekwa Oysterbay pale.Polisi walikuwa wanamzingua tu mshkaji wanataka hela.

Basi mshkaji akamwambia Kiaro, Kiaro ee, kuna Wamwera wananizingua huku, njoo useme nao.

Basi daah, Kiaro akanunua ile kesi mara moja.

Basi Kiaro akaenda na Benzi la Ikulu akapaki mlangoni pale Oysterbay Polisi.

Sasa si unajua mwana alivyopanda hewani, Kiaro hapo kipande cha mtu anapiga vyuma kama hana akili nzuri, halafu kapiga upara wake ule ameupaka mafuta unag'aa kama kioo, ana miwani ya jua ya kijasusi ile, juu kapiga T Shirt, chini ana Jeans kali, halafu kapiga buti la jeshi jeusiiii linang'ara.

Kaingia Oysterbay Polisi tu akaanza kuwaamrisha wale askari anawaambia "nataka mliachie hili daladala mara moja" yani hakuna majadiliano wala nini.

Wale Polisi kumuangalia tu wakawa wanaogopa, wanajiuliza huyu kiumbe ni nani, usalama wa taifa? Hii Benzi mbona kama ya Ikulu? Huyu jamaa kajiamini vipi kuingia kituo cha Polisi Oysterbay na buti za kijeshi? Huyu ni mwanajeshi au vipi?

Basi akaitwa mkuu wa kituo pale, yule mkuu wa kituo alikuwa anamjua Kiaro, akaanza kujichekesha chekesha lile daladala likatokewa mara moja.

Kiaro mtu poa sana, hana shobo wala mashauzi na mtu, mnakaa naye maskani mnapiga stories, jioni huyo anarudi Sea View anaenda kumnyoa nywele rais Benjamin Mkapa.
Huyu Kyaro alikua jamaa wa PSU?
 
Nilimjua Judy halaf Mapinduzi , Mapinduzi ndio alikua mshkaji wangu sana , mdau humu kani hakikishia kamba Mapinduzi alifariki na niliwahi sikia ila ilikua sina uhakika ,Azimia kama jina nalikumbuka itabidi nimtafute huyo .
Ndiyo. Mapinduzi ni marehemu sasa.
 
Sijaelewa vizuri swali lako, ila kuhusu Oysterbay ni sababu niliishi hapo na niliwajua hao marehemu na ilikuwa sehemu tulivu haina violence yoyote na watoto walilelewa vizuri kwa maadili ila ajabu hizo family zilipatwa na hayo majanga, ndio najiuliza ilikuwaje?

..vipi kuhusu kupotea kwa mke wa mzee joseph namata.

..joseph namata aliwahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi wa serikali.

..nadhani ndio wa kwanza mzalendo.
 
Kwa hili nakukatalia. Mimi nimezaliwa kabla ya uhuru. Tulipopata uhuru kingereza ndilo somo lilitumika darasani. Kwenye miaka ya sabini wakati kiingereza kinaonekana kinapuuzwa, tulianza kuvalishwa kata au kubebeshwa vibao na kuandikwa kwenye daftari ukiongea kilugha tulivyokiita kiswahili au kuongea lugha ya ko ya nyumbani.

Baada ya kuanzishwa UPE shule zikawa zina walimu wazuri wali std 8 na seven wa seventies na hasa wale waliofail au kurudishwa toka Seminary.
English wakati wa Nyerere ilitumika kila mahali. Yeye Mwl. alikuwa akiende kwenye makongamano yote alikuwa anausema ung'e mtupu.

Tumseme mengi kama kunyima uhuru wa kujieleza, kuwa na wafuatiliaji wasiojulikana, kulazimishwa kusoma magazeti mawili tu Uhuru na Mzalendo na Daily news and sunday news basi.
Mkuu shkamoo!! I'm humbled in Lemutuz voice. RIP
 
Nani anakumbuka siku Nigga One alivyofariki kwenye ajali ya gari?

Kwanza wangapi humu wanajua Nigga One ni nani?
Nakumbuka huyo rapper siku sikuwa naye close , ila nilikuw anamuona na kina Mossy kinamna fulani , Siku hiyo nadhani tulikua kwenye harusi ya Peter Rupia , Masaki, ndio tukasikia hiyo habari kwamba , Nigger one kafariki na demu wake kwenye ajali walikau wana toka kama Bills nadhani .
Sikumbuki vizuri ila nakumbuka alikua ana soam IST na Kama walihamia toka somewhere waka hamia kama maeneo ya huku Morogoro stores jirani na kina Robert Mwingira .
 
..vipi kuhusu kupotea kwa mke wa mzee joseph namata.

..joseph namata aliwahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi wa serikali.

..nadhani ndio wa kwanza mzalendo.
Aisee hiyo case siku wahi ifahamu na huyo Mr Namata alikuwa anakaa mtaa gani?
 
Nakumbuka huyo rapper siku sikuwa naye close , ila nilikuw anamuona na kina Mossy kinamna fulani , Siku hiyo nadhani tulikua kwenye harusi ya Peter Rupia , Masaki, ndio tukasikia hiyo habari kwamba , Nigger one kafariki na demu wake kwenye ajali walikau wana toka kama Bills nadhani .
Sikumbuki vizuri ila nakumbuka alikua ana soam IST na Kama walihamia toka somewhere waka hamia kama maeneo ya huku Morogoro stores jirani na kina Robert Mwingira .
Naam, Adili [Nigga One] alikuwa anasoma IST.

Back then I had a crush on his sister.
 
..sijui alikuwa akiishi mtaa upi, lakini ni hukohuko Oysterbay.

..waulize wazee wako wanaweza kuwa wanafahamu tukio hilo.
OK, labda Oysterbay ya karibuni au ya zamani sana , sikuwahi mfahamu huyo Mzee wala watoto wake na wala kusikai case mke wa Mzee wa Obay akapotea, ila kama kuna kitu na waza kinataka kufanana na famili moja sina uhakika , nitaulizia.
 
ooh , hiyo Kyaro kumbe ni a nickname
Yeah hapa mengine kwa code watu bado wana kazi zao.

PSU hapo kulikuwa na baba Ben Mashiba.

Sasa hivi kapewa ubalozi.Mara ya mwisho alikuwa Malawi, nafikiri kastaafu sasa.

Huyu Uncle wakati niko mdogo aliniambia huyu Ali Hassan Mwinyi anakuja kuwa rais wetu. Mara paap, Mwinyi kawa rais kweli.
 
Yeah hapa mengine kwa code watu bado wana kazi zao.

PSU hapo kulikuwa na baba Ben Mashiba.

Sasa hivi kapewa ubalozi.

Huyu Uncke aliniambia huyu Mwinyi anakuja kuwa rais wenu. Mara paap, Mwinyi kawa rais kweli.
Huyu Mashiba lazima ajue kwasababu alikua close na Kigogo mmoja wa Idara ambaye mipango ya kumuanda Mwinyi ilikua toka huko 2000 , kipindi kile Omar Ali Juma kafariki teari Mwinyi ilikua ina jualikana kwa wao kwama ana kuja kuwa lol
 
Hiyo ilikuwa early 1980s wakati Aboud Jumbe kaondolewa urais Zanzibar baada ya mchafuko wa hali ya hewa ya kisiasa halafu Mwinyi akawekwa kuwa "rais wa muda" Zanzibar.

Ndiyo Ben Mashiba akasema huyu jamaa anakwenda kuwa rais wa Tanzania.

Nyerere alikuwa anampenda sana Mashiba.Mashiba alikuwa ana uwezo mkubwa sana wa kukaa macho bila kulala na Nyerere naye alikuwa anakesha anasikiliza BBC.
 
Duh sikujua alikuwa powerful hivyo , mimi nilimchukilia tuu kama Uncle Mashiba lol .ok, nilidhani una mzungumzia huyu DR Mwiny wa ZNZ now, huyo ndio in 2000 wali kua wana muandaa kuja kuwa raisi wa Znz now.
 
Back
Top Bottom