Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Pia wazungumzie na vijana waliokufa ktm miaka hiyo wanaotokea maeneo ya Mbagala Kiburugwa, Manzese, Tandika, kwa Mparange, Mabibo, Tabata dampo, Chanika, Mvuti na maeneo mengine ya uswahilini.
 
Pia wazungumzie na vijana waliokufa ktm miaka hiyo wanao tokea maeneo ya mbagala kiburugwa, manzese, Tandika, kwa mparange, mabibo, Tabata dampo, chanika, mvuti na maeneo mengine ya uswahilini.
Mimi nitawajuaje wakati sijawahi ishi huko? Mimi nimezaliwa Dar na kukulia Oysterbay, sasa nitawezaje kujua hao wa huko?
Hawa ninaowasema wote ni family friends yaani wazazi wetu walijuana na hizo familia na kwa kuwa wote hao waliofariki ni kwakubwa kimiaka na mimi, hivyo hata kwnye misiba yao sikuweza hudhuria kwa sababu kipindi hicho watoo hawa ruhusiwi kwenda misibani na hivyo hata kuuliza huwezi why fulani kafa lazima utadanganywa tuu, Msiba peke enilio hudhuria niwa Robert tuu. Maana nilkua teari teenager fulani.

Kipindi hicho hata kufika Mbagala, Tandika, Tabata, Chanika, kwa Mparange na kwingine uswahili mtu unaogopa kwenda au hata hukujui, mimi hadi leo nataka nikakuone Uwanja wa Fisi kila siku nakusikia tuu, najua kwa sasa kumebadilika ila kipindi chetu kulikua na sifa mbaya sana hata kufika huko unaogopa, sijui kuna wangapi wa toto wa Obay wameshawahi fika Uwanja wa fisi, naamini ni wachache sana.
 
...Uzi Umegeuza ! Swali la Mtoa Uzi halijibiwi ! [emoji57][emoji57]
 
Chuki kati ya wenye nacho na wasio nacho, wivu, roho mbaya ukichanganya na umasikini, ni ugonjwa mbaya sana.
 
NADHARIA TU SIO UHAKIKA

UNAJUA kama baba zao WALIKUA na nafasi FULANI kubwa serikalini halafu wakawa wanaongea au kuwandaa watoto hao KWA malengo makuu ya kushika nafasi nyeti baadae Bas hayo hutokea KWA watoto YAANI Baba huchonaganisha watoto na vitengo FULANI au majasusi FULANI bila kujua!!

Japo hicho ninachodhani kinaweza kuwa kilifanyika bila ustadi au teknolojia duni sana ya kipindi hicho!!

Kwanini naandika haya!!?

MAKONGORO NYERERE

Aliwahi lalamika sana kuhusu marafiki wabaya waliomuharibia future yake huku akimsifu mwinyi junior KWA kuepuka marafiki wabaya HADI akawa Mkubwa nchini!!!

SASA JARIBU KUFIKIRI

KWA familia kama ya NYERERE ni ngumu kufanya kama hicho kilichofanyika hapo osterbey KWA muono wangu coz ile ni protected famili lakini waliamua ku spin wale watoto KWA njia nyingine kidogo ndio maana HADI leo ile familia haijatoa waziri tu,ina maana hilo ni KWA Bahati mbaya!!?KWA NADHARIA yangu huo ni mpango kazi!!

Haya ni maoni tu kama ya wengine!!
 
Sijakuelewa kabisa, inahusianaje na mada niliyoweka.
 
Mimi naona ulikuwa ujana wao tu wa wakati ule na mazingira waliyokuwepo na mambo waliyokuwa wanafanya mkuu

Ova
Ndio ulikua ujana, ila tuu niliaka kujua nini kilitokea ?Vifo hivyo havihusiani kabisa na mambo sijui ya kisiasa, kwanza walio fariki walikua vijana wa dogo na hakuna aliye iyekuwa na nafasi serikalini .

Tetesi silizo kuwepo ni kwamba
1. Makata aliuwawa kwnye party Upanga sababu ya bifu la watoto wa Oysterbay/Masaki dhidi ya watoto wa Upanga , Obay/Masaki tulikua juu wa kishua zaidi wa Upanga wakawa na bifu mademu zao wanatushobokea

2. Angelica aliwawa baada ya kugundulika kulikua na ubadhirifu kwenye kampuni aliyo fanyia kazi, inasemekana alikua ni an Auditor (Sina uhakika na hilo kwa positin aliyo kuwa nayo ), hivyo waka rure her kumualika hotelini na ndiko waka muua kw akumrusha ghorofani (Tetesi)

3. Robert aliwawa ina semekana ni wivu wa mapenzi .
Vyotehivyo havina uhakika , ndio maana nikauliza labda kuna wanao jua zaidi ishu ilikuwa nini pka vijana hao waka uwawa.
 
Sasa watoto wa Nyerere wawe na shida na watu kwa sababu zipi. Watoto wenyewe hawana time na kujiingiza na masuala ya biashara kubwa za nchi nk

Wamejiridhikia tu

Ova
 
Na yule aliyeanguka ghorofani Makumbusho kama hana tofauti na hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…