Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Kwa wenye kufikiria..NADHARIA TU SIO UHAKIKA
UNAJUA kama baba zao WALIKUA na nafasi FULANI kubwa serikalini halafu wakawa wanaongea au kuwandaa watoto hao KWA malengo makuu ya kushika nafasi nyeti baadae Bas hayo hutokea KWA watoto YAANI Baba huchonaganisha watoto na vitengo FULANI au majasusi FULANI bila kujua!!
Japo hicho ninachodhani kinaweza kuwa kilifanyika bila ustadi au teknolojia duni sana ya kipindi hicho!!
Kwanini naandika haya!!?
MAKONGORO NYERERE
Aliwahi lalamika sana kuhusu marafiki wabaya waliomuharibia future yake huku akimsifu mwinyi junior KWA kuepuka marafiki wabaya HADI akawa Mkubwa nchini!!!
SASA JARIBU KUFIKIRI
KWA familia kama ya NYERERE ni ngumu kufanya kama hicho kilichofanyika hapo osterbey KWA muono wangu coz ile ni protected famili lakini waliamua ku spin wale watoto KWA njia nyingine kidogo ndio maana HADI leo ile familia haijatoa waziri tu,ina maana hilo ni KWA Bahati mbaya!!?KWA NADHARIA yangu huo ni mpango kazi!!
Haya ni maoni tu kama ya wengine!!
Umeongea point!