Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Kuna dem mmoja alikuwa upanga alikuwa anasoma mzizima smbdy salama alikuwa active sana unampata

Ova
Salama, Salama, yupi huyo? Mimi namjua Salama wa Mwinyi lakini huyo hakuwa Upanga wala hakusoma Mzizima.
 
Mkuu hapo ni Zambia & Bongoyo au Kaunda & Bongoyo?
Mke wa warioba nlikuwa nakutana naye ofisi za serikali ya mtaa obay
Nlikuwa na issue za huko ashanipiga sana taff,ukiwa kiongozi local gvmnt obay/upanga kuna vi pesa ynabunya tu
Ofisi zao zenyewe zipo dar fishmarket pale serikali ya mitaa obay

Kuna dogo mmoja wa Lubuva mdogo wake Njolo alikuwa anaongoza local government Oysterbay.

Dogo amefanana na Njolo kichizi, siku nilivyomuona nikafikiri ni Njolo, akaniambia mimi si Njolo ni mdogo wake.

Baadaye alipata teuzi gani sijui wakampeleka Arusha kama nakumbuka vizuri.
 
Badaye mama warioba alikaimu
Lubuva si alikula udc
Nmekula sana hela za vibali za goat race wazungu wakitakq kufanya si lzm waombe kibali,nkawasanuaga
Ukiwa kiongozi serikali mtaa kule hulii njaa [emoji1]

Ova
 
Sijui ni salama shekilango alikuwa active sana na Ana marafiki wengi alikuwa
Nlisikiaga alitutoka kalikuwa peace kweli

Ova
Shekilango anaweza kuwa ndugu yake Mambiu.

Mimi namjua Mambiu Shekilango, super tall girl alikuwa anacheza sana basketball.

Baba yao alikuwa Waziri enzi za Nyerere, Hussein Shekilango, alifariki kwenye ajali ya ndege siku za vita vya Kagera wakati anafanya mipango ya vita. Ndege iligonga milima Arusha kutokana na hali ya hewa mbaya.

Nyerere alisikitika sana, ndiyo ile barabara ya Shekilango Sinza ikapewa jina lake.

R.I.P.
 
Kuna dogo mmoja wa Lubuva mdogo wake Njolo alikuwa anaongoza local government Oysterbay.

Dogo amefanana na Njolo kichizi, siku nilivyomuona nikafikiri ni Njolo, akaniambia mimi si Njolo ni mdogo wake.

Baadaye alipata teuzi gani sijui wakampeleka Arusha kama nakumbuka vizuri.
Duh! Peter Njolo 🤣

Dunia ndogo sana hii aisee.

Dude was a classmate and a very good friend.
 
Kuna dogo mmoja wa Lubuva mdogo wake Njolo alikuwa anaongoza local government Oysterbay.

Dogo amefanana na Njolo kichizi, siku nilivyomuona nikafikiri ni Njolo, akaniambia mimi si Njolo ni mdogo wake.

Baadaye alipata teuzi gani sijui wakampeleka Arusha kama nakumbuka vizuri.
Huyo jamaa ni kaka yake Njoro, wako wakubwa wawili , huo mpaka leo nikiwaona siwezi jua yupi ni yupi, nawafananisha sana .Mmoja anaitwa Kinara na mwingine Kimoro huyo wa Local goverment alikuaja kuwa nafasi ya kitu kama Mkurugenzi wa wilaya somewhere in Kilimanjaro, baadae akahamishiwa Singida or Dodoma.
 
Wazee zamani walikuwa hawajitangazi,sasa siku hizi watu kutwa kutembea na vitambulisho vyao vinaninginia shingoni
Nlikuwaga na watoto wa mosha wale twins wa kiume,forodhani
Mzee wao alifarikigi basi msiba ulikuwa mkubwa kweli

Ova
Kawaachia mali sana haswa viwanja
 
Huyo jamaa ni kaka yake Njoro, wako wakubwa wawili , huo mpaka leo nikiwaona siwezi jua yupi ni yupi, nawafananisha sana .Mmoja anaitwa Kinara na mwingine Kimoro huyo wa Local goverment alikuaja kuwa nafasi ya kitu kama Mkurugenzi wa wilaya somewhere in Kilimanjaro, baadae akahamishiwa Singida or Dodoma.
Yule dogo anaitwa Zefrin Lubuva. Nimekumbuka jina lake.
 
Hawa Mosha siwakumbuki vizuri walikua wana kaa Mitaa ya Laibon?
Mosha walikuwa wanakaa mtaa wa Laibon hapa ubalozi wa zamani wa US, upande wa pili nex to the Janguos.

Baba yao alikuwa DG wa TANESCO. Alihama pale kwa sababu alisema security system ya ubalozi wa Marekani walikuwa wanawachungulia ndani.

Kulikuwa na binti mmoja hapo anaitwa Mary Mosha, mweupeee, matata sana. Alikuwa anasoma Forodhani, mrangi atakuwa anamjua.
 
Bora walihama , maana wle wengine sijui ni Luhanga au nani , bomu lilivyolipuka lika enzua hadi paa la nyuma yao nasikia mama yao alijeruhiwa .Hao kina Mosha najaribu kuwa kumbuka , wali hamia wapi toka hapo?
 
Hawa Mosha siwakumbuki vizuri walikua wana kaa Mitaa ya Laibon?
Hao nlisoma nao forodhan walikuwa wapole sana,na wana adabu sana
Walikuwa wakiletwa shule kabla ya kuingia shule lazima wahudhurie misa pale cathedral,shingoni hawakosi rozali
Ile shule manunda tulikuwaga sisi tu
Sema mashuwa na mama wa kishuwa
Walikuwa waba show love sana kwangu licha ya utukutu wangu
Kuna mama mmoja wa kishuwa mtoto wake alikuwa best wangu sana,mama alikuwa hanikubali lift ananipa kiubishi maana alikuwa anajua kama ntampoteza mwanaye [emoji1]
Ilikuwa nkifika kwake najitolea napiga sana kazi
Yaani kwa kifupi nlipokuwa forodhan nlisoma kimteremko sana [emoji1]

Ova
 
Mosha walikuwa wanakaa mtaa wa Laibon hapa ubalozi wa zamani wa US, upande wa pili nex to the Janguos.

Baba yao alikuwa DG wa TANESCO. Alihama pale kwa sababu alisema security system ya ubalozi wa Marekani walikuwa wanawachungulia ndani.

Kulikuwa na binti mmoja hapo anaitwa Mary Mosha, mweupeee, matata sana. Alikuwa anasoma Forodhani, mrangi atakuwa anamjua.
Nawajua watoto wa moshq walikuwa wana discipline ya hali ya juu

Ova
 
Back
Top Bottom