Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
- Thread starter
- #621
Bora walihama , maana wle wengine sijui ni Luhanga au nani , bomu lilivyolipuka lika enzua hadi paa la nyuma yao nasikia mama yao alijeruhiwa .Hao kina Mosha najaribu kuwa kumbuka , wali hamia wapi toka hapo?
Kuna story moja , ya mzee mmoja alikua anaishi jirani na hapo , majamabzi wakaingia nyumbani kwake , watu wa ubaloz a Marekani wakampigia simu wakamwambia kuna majambazi wanagia kwako sasa hivi na sasa wako kwnye corridor, ndio aka ogopa kusema wamejuaje hawa majambazi wameingia ina maana wanatuona kila kitu ndio akahama ,sasa sijui ndio hao ?Mosha walikuwa wanakaa mtaa wa Laibon hapa ubalozi wa zamani wa US, upande wa pili nex to the Janguos.
Baba yao alikuwa DG wa TANESCO. Alihama pale kwa sababu alisema security system ya ubalozi wa Marekani walikuwa wanawachungulia ndani.
Kulikuwa na binti mmoja hapo anaitwa Mary Mosha, mweupeee, matata sana. Alikuwa anasoma Forodhani, mrangi atakuwa anamjua.