Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Bora walihama , maana wle wengine sijui ni Luhanga au nani , bomu lilivyolipuka lika enzua hadi paa la nyuma yao nasikia mama yao alijeruhiwa .Hao kina Mosha najaribu kuwa kumbuka , wali hamia wapi toka hapo?

Mosha walikuwa wanakaa mtaa wa Laibon hapa ubalozi wa zamani wa US, upande wa pili nex to the Janguos.

Baba yao alikuwa DG wa TANESCO. Alihama pale kwa sababu alisema security system ya ubalozi wa Marekani walikuwa wanawachungulia ndani.

Kulikuwa na binti mmoja hapo anaitwa Mary Mosha, mweupeee, matata sana. Alikuwa anasoma Forodhani, mrangi atakuwa anamjua.
Kuna story moja , ya mzee mmoja alikua anaishi jirani na hapo , majamabzi wakaingia nyumbani kwake , watu wa ubaloz a Marekani wakampigia simu wakamwambia kuna majambazi wanagia kwako sasa hivi na sasa wako kwnye corridor, ndio aka ogopa kusema wamejuaje hawa majambazi wameingia ina maana wanatuona kila kitu ndio akahama ,sasa sijui ndio hao ?
 
Bora walihama , maana wle wengine sijui ni Luhanga au nani , bomu lilivyolipuka lika enzua hadi paa la nyuma yao nasikia mama yao alijeruhiwa .Hao kina Mosha najaribu kuwa kumbuka , wali hamia wapi toka hapo?
Walihamia maeneo yaleyale, kama nakumbuka vizuri kulikuwa na nyumba nyingine ya TANESCO kule Kenyatta Drive kwa nyuma walihamia hapo kama nakumbuka vizuri.

Sisi mshua alipata nafasi ya kuhamia zile nyumba za Laibon palepale.

Tukawa tunampa pressure tuhamie, lakini mshua akakataa, baadaye ndiyo tukasikia bomu limelipuka.

Tukasema dah, mshua alikuwa na machale sana, yani sisi hatukumuelewa kwa nini hakutaka kuhamia nyumba kali ya "nusu ulaya".
 
Luhqngas sasa wakina a.luhanga na dada yk r.luhangas rip
Nlikuwa naendaga sana kwao
R.luhanga alifariki naye msiba wake uliniumaa sana alirudi masomoni toka Ireland
Unajua wakati bomb la ubalozi unatokea mm ilikuwa kama siku 2 hv niingie kwenda kuomba viza ndy balaa likatokea

Ova
 
Hahaha watoto mlitaka ujiko maana nyumba za mitaile na dhani ndio kali Obay Nzima , hahahahhaahaaahaa
ila baba aka stuka macale yalimcheza lol
 
Kuna story moja , ya mzee mmoja alikua anaishi jirani na hapo , majamabzi wakaingia nyumbani kwake , watu wa ubaloz a Marekani wakampigia simu wakamwambia kuna majambazi wanagia kwako sasa hivi na sasa wako kwnye corridor, ndio aka ogopa kusema wamejuaje hawa majambazi wameingia ina maana wanatuona kila kitu ndio akahama ,sasa sijui ndio hao ?
Itakuwa ndiyo huyo Mzee Mosha, kama nakumbuka hiyo story.
 
Luhqngas sasa wakina a.luhanga na dada yk r.luhangas rip
Nlikuwa naendaga sana kwao
R.luhanga alifariki naye msiba wake uliniumaa sana alirudi masomoni toka Ireland
Unajua wakati bomb la ubalozi unatokea mm ilikuwa kama siku 2 hv niingie kwenda kuomba viza ndy balaa likatokea

Ova
Nakumbuka kama alipata ajali akitoka Moshi or Arusha alikua na Rav4 ,dah
 
Wale kwao walikuwa wana Ukatoliki ule devoted kabisa.

Mpaka yule Mary Mosha tulikuwa tunamtania tunamuita "Virgin Mary".
Wale si mchezo,sisi wakati wa kwenda kanisani ahh tulikuwa tunakimbilia baharini chini kule au tunajificha ndani shule chooni
[emoji1]
Wale walikuwa never miss kanisa

Ova
 
Nakumbuka kama alipata ajali akitoka Moshi or Arusha alikua na Rav4 ,dah
bana we, siku bomu lime lipuka sikuwa Bongo , ila asubuhi nawasha TV naona breaking news picha za bendera ya TZ na Kenya ebana we nilitok mbio ndani kwenda kwnye call box kupiga simu ,maan nilisahau hadi simu ya ndani nilipo kua, maana sikuamini nilicho kiona kwnye TV nikadhani Dar yote ime lipuka
 
Kifo chake kiliniuma sana

Wale mm nlikuwa nawakusanya nawaleta American chips wkt huo inakik sana nawapel3ka uswaz tunachil yaani tulikuwa marafiki
Sana
Alipata internal bleeding kumbe

Ova
dah aisee pole man ,inasikitisha , nakuumbuka siku ya mazishi ya Huyo ndio siku ya mazishi ya Mzee Mansur , alikua ana ka pale Hill road kabla ya kuhamia tegea , so nilikua sija sikia kama kuna msiba w Luhanga ndio Chrles Kiziga akawa amekuaja amchelewa ndio akasema kwamba ametoka kwnye mazishi hayo , tukawa shocked
 
R.luhanga,a.kitomari,w.mazula
Hiyo misiba yao iliniuma sana aise

Ova
 
Back
Top Bottom