Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Salama, Salama, yupi huyo? Mimi namjua Salama wa Mwinyi lakini huyo hakuwa Upanga wala hakusoma Mzizima.Kuna dem mmoja alikuwa upanga alikuwa anasoma mzizima smbdy salama alikuwa active sana unampata
Ova