Salama, Salama, yupi huyo? Mimi namjua Salama wa Mwinyi lakini huyo hakuwa Upanga wala hakusoma Mzizima.Kuna dem mmoja alikuwa upanga alikuwa anasoma mzizima smbdy salama alikuwa active sana unampata
Ova
Mke wa warioba nlikuwa nakutana naye ofisi za serikali ya mtaa obayMkuu hapo ni Zambia & Bongoyo au Kaunda & Bongoyo?
Sijui ni salama shekilango alikuwa active sana na Ana marafiki wengi alikuwaSalama, Salama, yupi huyo? Mimi namjua Salama wa Mwinyi lakini huyo hakuwa Upanga wala hakusoma Mzizima.
Kuna dogo mmoja wa Lubuva mdogo wake Njolo alikuwa anaongoza local government Oysterbay.Mke wa warioba nlikuwa nakutana naye ofisi za serikali ya mtaa obay
Nlikuwa na issue za huko ashanipiga sana taff,ukiwa kiongozi local gvmnt obay/upanga kuna vi pesa ynabunya tu
Ofisi zao zenyewe zipo dar fishmarket pale serikali ya mitaa obay
Ova
Smbdy p.kiligiti tulimpaga jina phat black yupo alikuwa obay mzee wake alikuwaga mjeda...Mkuu hapo ni Zambia & Bongoyo au Kaunda & Bongoyo?
Badaye mama warioba alikaimuKuna dogo mmoja wa Lubuva mdogo wake Njolo alikuwa anaongoza local government Oysterbay.
Dogo amefanana na Njolo kichizi, siku nilivyomuona nikafikiri ni Njolo, akaniambia mimi si Njolo ni mdogo wake.
Baadaye alipata teuzi gani sijui wakampeleka Arusha kama nakumbuka vizuri.
Shekilango anaweza kuwa ndugu yake Mambiu.Sijui ni salama shekilango alikuwa active sana na Ana marafiki wengi alikuwa
Nlisikiaga alitutoka kalikuwa peace kweli
Ova
Patricia, ana kaka yake pacha Patrick.Smbdy p.kiligiti tulimpaga jina phat black yupo alikuwa obay mzee wake alikuwaga mjeda...
Ova
Duh! Peter Njolo 🤣Kuna dogo mmoja wa Lubuva mdogo wake Njolo alikuwa anaongoza local government Oysterbay.
Dogo amefanana na Njolo kichizi, siku nilivyomuona nikafikiri ni Njolo, akaniambia mimi si Njolo ni mdogo wake.
Baadaye alipata teuzi gani sijui wakampeleka Arusha kama nakumbuka vizuri.
Njolo is a class act.Duh! Peter Njolo [emoji1787]
Dunia ndogo sana hii aisee.
Dude was a classmate and a very good friend.
Huyo jamaa ni kaka yake Njoro, wako wakubwa wawili , huo mpaka leo nikiwaona siwezi jua yupi ni yupi, nawafananisha sana .Mmoja anaitwa Kinara na mwingine Kimoro huyo wa Local goverment alikuaja kuwa nafasi ya kitu kama Mkurugenzi wa wilaya somewhere in Kilimanjaro, baadae akahamishiwa Singida or Dodoma.Kuna dogo mmoja wa Lubuva mdogo wake Njolo alikuwa anaongoza local government Oysterbay.
Dogo amefanana na Njolo kichizi, siku nilivyomuona nikafikiri ni Njolo, akaniambia mimi si Njolo ni mdogo wake.
Baadaye alipata teuzi gani sijui wakampeleka Arusha kama nakumbuka vizuri.
Kawaachia mali sana haswa viwanjaWazee zamani walikuwa hawajitangazi,sasa siku hizi watu kutwa kutembea na vitambulisho vyao vinaninginia shingoni
Nlikuwaga na watoto wa mosha wale twins wa kiume,forodhani
Mzee wao alifarikigi basi msiba ulikuwa mkubwa kweli
Ova
Hawa Mosha siwakumbuki vizuri walikua wana kaa Mitaa ya Laibon?Kawaachia mali sana haswa viwanja
Yule dogo anaitwa Zefrin Lubuva. Nimekumbuka jina lake.Huyo jamaa ni kaka yake Njoro, wako wakubwa wawili , huo mpaka leo nikiwaona siwezi jua yupi ni yupi, nawafananisha sana .Mmoja anaitwa Kinara na mwingine Kimoro huyo wa Local goverment alikuaja kuwa nafasi ya kitu kama Mkurugenzi wa wilaya somewhere in Kilimanjaro, baadae akahamishiwa Singida or Dodoma.
Yes ndio huyo na dhani ndio Kimoro huyu , maana hua na wachanganya sana , ila nadhani yule mkubwa hakua mtuwa kujichanganya huyu nadhani ndio alikua wa kujichanganya sana .Yule dogo anaitwa Zefrin Lubuva. Nimekumbuka jina lake.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Mosha walikuwa wanakaa mtaa wa Laibon hapa ubalozi wa zamani wa US, upande wa pili nex to the Janguos.Hawa Mosha siwakumbuki vizuri walikua wana kaa Mitaa ya Laibon?
Bora walihama , maana wle wengine sijui ni Luhanga au nani , bomu lilivyolipuka lika enzua hadi paa la nyuma yao nasikia mama yao alijeruhiwa .Hao kina Mosha najaribu kuwa kumbuka , wali hamia wapi toka hapo?Mosha walikuwa wanakaa mtaa wa Laibon hapa ubalozi wa zamani wa US, upande wa pili nex to the Janguos.
Baba yao alikuwa DG wa TANESCO. Alihama pale kwa sababu alisema security system ya ubalozi wa Marekani walikuwa wanawachungulia ndani.
Kulikuwa na binti mmoja hapo anaitwa Mary Mosha, mweupeee, matata sana. Alikuwa anasoma Forodhani, mrangi atakuwa anamjua.
Hao nlisoma nao forodhan walikuwa wapole sana,na wana adabu sanaHawa Mosha siwakumbuki vizuri walikua wana kaa Mitaa ya Laibon?
Nawajua watoto wa moshq walikuwa wana discipline ya hali ya juuMosha walikuwa wanakaa mtaa wa Laibon hapa ubalozi wa zamani wa US, upande wa pili nex to the Janguos.
Baba yao alikuwa DG wa TANESCO. Alihama pale kwa sababu alisema security system ya ubalozi wa Marekani walikuwa wanawachungulia ndani.
Kulikuwa na binti mmoja hapo anaitwa Mary Mosha, mweupeee, matata sana. Alikuwa anasoma Forodhani, mrangi atakuwa anamjua.