Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Pale kwa Mzee Kiligiti now ni Dar free market
Dah,

Itabidi nije kuangalia. Hiyo mitaa sijapitia miaka kibao.

Nime i Google hiyo Dar Free Market naona pamebadilika pamekuwa dunia nyingine kabisa.
 
Sio mchezo....
Uzi umenipita kweli na pilika
Babu kumbe wewe wa maskani kabisa, na code unazijua kama zote, nimekubali😂
Kwa Mwita Kiaro; sijui nianzie wapi,
Yaani, maskani alivyokuwa anawatoa nishai wale mwela wa police post ya Muhimbili wa pale mbele ya Azania, kila jioni wanajifanya wanapiga raundi mtaa wa mindu 🤣
Kuna Washkaji dada wao alikuwa anashobokewa na brazameni mmoja, sasa mabraza wakawa wanamaindi kishenzi yule brazameni, lakini alikuwa yuko fit kwa shughuli zake, sasa mabraza hawakutaka kuunguza picha kama harusi itafuata, wakamtuma Mwita Kiaro amkoromee, kama kawaida yake na upara mkali na raybans glasses, ilikuwa ni action comedy, jamaa anatetemeka huku akimwangalia Mwita Kiaro, lakini baadae na harusi tulikwenda Embassy hotel miaka ile..
 
Dah,

Hapa wa maskani mpaka tutajuana tu.

Nishavunja itifaki zote za umafia za Ngoto Spy [emoji1787][emoji1787]
 
Nahisi pale kwenu Kiranga wameweka switch ya Vodacom
Duh VoDa SWits ni Pale Laibon kwa Rostam nini? Kuna dogo mmoja likua mshkaji hapo kwao kuna Tausi wengi , akatuambia kua wan ataga hapo, ni wewe nini?
 
Arusha.

Mfaume Kimario atatupitisha huko.

Tena kwa ma tour guides wa nguvu.
Mfaume hivi sijui walihama au walihamia , ila nakumbuka Bro zake Kashenge na nani sijui yule mwingine , kitu kama walikaa halafu wakaondoka au wakaenda boarding school halafu wakawa hawaji Dar wakifunga shule , kitu kama hicho .
 
Mfaume hivi sijui walihama au walihamia , ila nakumbuka Bro zake Kashenge na nani sijui yule mwingine , kitu kama walikaa halafu wakaondoka au wakaenda boarding school halafu wakawa hawaji Dar wakifunga shule , kitu kama hicho .
Yeah, Kashenge alisoma na cousin wangu mmoja Mwanza, nafikiri Lake Sec.

Kina Mfaume walikuwa na big base Arusha, mshua wao alikuwa Mbunge na Waziri Mambo ya Ndani.

Nilikutana naye US halafu akarudi Tanzania.

Kuna kipindi alikuwa anafanya biashara ya utalii mambo ya tours nilikuwa namuunganishia Wamarekani kwenda mbugani.

Tulikuwa tunaingea mshua wake aandike kitabu kuhusu Vita Vya Kagera, jalafu muda kidogo tu akafariki yule mshua.

RIP Major General Muhidin Kimario.
 
Ninakumbuka kama walitoka Dodoma wakahamia Obay Mtaa wa Bongoyo , sikumbuki kama wali hama tena , ila wale brothers wake Mfaume (Kashenge na mwenzake ) kitu kama wali ondoka kwenda boarding school labda huko Mwanza na wakawa waki funga shule hawaji Dar labda ndio walikua wana kwenda Arusha, sikuw ahi waona tena Obay , nakumbuka Mfaume kama ndio alibaki hapo Bongoyo kwa muda mrefu zaidi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…