Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Dah,Pale kwa Mzee Kiligiti now ni Dar free market
Itabidi nije kuangalia. Hiyo mitaa sijapitia miaka kibao.
Nime i Google hiyo Dar Free Market naona pamebadilika pamekuwa dunia nyingine kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah,Pale kwa Mzee Kiligiti now ni Dar free market
Nahisi pale kwenu Kiranga wameweka switch ya VodacomDah,
Itabidi nije kuangalia. Hiyo mitaa sijapitia miaka kibao.
Nime i Google hiyo Dar Free Market naona pamebadilika pamekuwa dunia nyingine kabisa.
Hahaa. Mkuu utani expose hapa sasa.Nahisi pale kwenu Kiranga wameweka switch ya Vodacom
Basi kaka 🤣🤣🤣🤣Hahaa. Mkuu utani expose hapa sasa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzee nae labda alikuwa hivo hivo ujanani, nasikia alikuwa na mapenzi ya kihindi😂
American spirit 🤣🤣Oya nimecheka sana umepita mule mule le super dadaz.... nyenyeee le kokobanga boma yeee. Mmenielewa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mchezo....Hahaaa,
Mkuu wewe unamjua. Hilo jina la maskani kabisa wewe unazijua code.
Jamaa alikuwa anakuja maskani na Benzi la Ikulu.
Kiaro yuko wapi sijui siku hizi. Mara ya mwisho niliongea naye alikuwa Nairobi kwenye deal zake.
Kuna siku mshkaji wetu mmoja alikuwa na daladala lake, basi likakamatwa na Polisi. Likawekwa Oysterbay pale.Polisi walikuwa wanamzingua tu mshkaji wanataka hela.
Basi mshkaji akamwambia Kiaro, Kiaro ee, kuna Wamwera wananizingua huku, njoo useme nao.
Basi daah, Kiaro akanunua ile kesi mara moja.
Basi Kiaro akaenda na Benzi la Ikulu akapaki mlangoni pale Oysterbay Polisi.
Sasa si unajua mwana alivyopanda hewani, Kiaro hapo kipande cha mtu anapiga vyuma kama hana akili nzuri, halafu kapiga upara wake ule ameupaka mafuta unag'aa kama kioo, ana miwani ya jua ya kijasusi ile, juu kapiga T Shirt, chini ana Jeans kali, halafu kapiga buti la jeshi jeusiiii linang'ara.
Kaingia Oysterbay Polisi tu akaanza kuwaamrisha wale askari anawaambia "nataka mliachie hili daladala mara moja" yani hakuna majadiliano wala nini.
Wale Polisi kumuangalia tu wakawa wanaogopa, wanajiuliza huyu kiumbe ni nani, usalama wa taifa? Hii Benzi mbona kama ya Ikulu? Huyu jamaa kajiamini vipi kuingia kituo cha Polisi Oysterbay na buti za kijeshi? Huyu ni mwanajeshi au vipi?
Basi akaitwa mkuu wa kituo pale, yule mkuu wa kituo alikuwa anamjua Kiaro, akaanza kujichekesha chekesha lile daladala likatolewa mara moja.
Kiaro mtu poa sana, hana shobo wala mashauzi na mtu, mnakaa naye maskani mnapiga stories, jioni huyo anarudi Sea View anaenda kumnyoa nywele rais Benjamin Mkapa.
Dah,Sio mchezo....
Uzi umenipita kweli na pilika
Babu kumbe wewe wa maskani kabisa, na code unazijua kama zote, nimekubali[emoji23]
Kwa Mwita Kiaro; sijui nianzie wapi,
Yaani, maskani alivyokuwa anawatoa nishai wale mwela wa police post ya Muhimbili wa pale mbele ya Azania, kila jioni wanajifanya wanapiga raundi mtaa wa mindu [emoji1787]
Kuna Washkaji dada wao alikuwa anashobokewa na brazameni mmoja, sasa mabraza wakawa wanamaindi kishenzi yule brazameni, lakini alikuwa yuko fit kwa shughuli zake, sasa mabraza hawakutaka kuunguza picha kama harusi itafuata, wakamtuma Mwita Kiaro amkoromee, kama kawaida yake na upara mkali na raybans glasses, ilikuwa ni action comedy, jamaa anatetemeka huku akimwangalia Mwita Kiaro, lakini baadae na harusi tulikwenda Embassy hotel miaka ile..
Najipanga 🤣 🤣 NitarudiDah,
Hapa wa maskani mpaka tutajuana tu.
Nishavunja itifaki zote za umafia za Ngoto Spy [emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣Ngoto Spy![]()
![]()
Kuna Cinema hapo pia lol , sio tena Drive INn lolDah,
Itabidi nije kuangalia. Hiyo mitaa sijapitia miaka kibao.
Nime i Google hiyo Dar Free Market naona pamebadilika pamekuwa dunia nyingine kabisa.
Tume jiachia sana , kiasi kuna watu wata stuka na kutujua ni nani hahahahahahahaDah,
Hapa wa maskani mpaka tutajuana tu.
Nishavunja itifaki zote za umafia za Ngoto Spy [emoji1787][emoji1787]
Im glad ume upenda, nilikua nina brag Uzi una 2K views na kuona kubwa sana , now na shangaa una hadi 30K + nina baki nina shangaa kumbe watu wame upenda .Nimesoma uzi kuanzia 7pm mpka sasa10pm
Uzi mzuri sana, maisha ni safari ndefu,tunaishi kisha tunaishia.
Duh VoDa SWits ni Pale Laibon kwa Rostam nini? Kuna dogo mmoja likua mshkaji hapo kwao kuna Tausi wengi , akatuambia kua wan ataga hapo, ni wewe nini?Nahisi pale kwenu Kiranga wameweka switch ya Vodacom
Mfaume hivi sijui walihama au walihamia , ila nakumbuka Bro zake Kashenge na nani sijui yule mwingine , kitu kama walikaa halafu wakaondoka au wakaenda boarding school halafu wakawa hawaji Dar wakifunga shule , kitu kama hicho .Arusha.
Mfaume Kimario atatupitisha huko.
Tena kwa ma tour guides wa nguvu.
Yeah, Kashenge alisoma na cousin wangu mmoja Mwanza, nafikiri Lake Sec.Mfaume hivi sijui walihama au walihamia , ila nakumbuka Bro zake Kashenge na nani sijui yule mwingine , kitu kama walikaa halafu wakaondoka au wakaenda boarding school halafu wakawa hawaji Dar wakifunga shule , kitu kama hicho .
Ninakumbuka kama walitoka Dodoma wakahamia Obay Mtaa wa Bongoyo , sikumbuki kama wali hama tena , ila wale brothers wake Mfaume (Kashenge na mwenzake ) kitu kama wali ondoka kwenda boarding school labda huko Mwanza na wakawa waki funga shule hawaji Dar labda ndio walikua wana kwenda Arusha, sikuw ahi waona tena Obay , nakumbuka Mfaume kama ndio alibaki hapo Bongoyo kwa muda mrefu zaidi .Yeah, Kashenge alisoma na cousin wangu mmoja Mwanza, nafikiri Lake Sec.
Kina Mfaume walikuwa na big base Arusha, mshua wao alikuwa Mbunge na Waziri Mambi ya Ndani.
Nilikutana naye US halafu akarudi Tanzania.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Kuna vingi vya kujifunza!.Im glad ume upenda, nilikua nina brag Uzi una 2K views na kuona kubwa sana , now na shangaa una hadi 30K + nina baki nina shangaa kumbe watu wame upenda .
Enzi za drive in,kuna watoto wa kishuwa waliandaa mule ndani bottle party..aise ilikuwa hatariKuna Cinema hapo pia lol , sio tena Drive INn lol