Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Enzi za drive in,kuna watoto wa kishuwa waliandaa mule ndani bottle party..aise ilikuwa hatari

Ova
Drive Inn dah , nakumbuka tukienda na family zile pekeaker za kuntundika kwnye gari , baadaye sikawa kwenye poles pembeni ya vilima vya parking sababu watu walikua wan ajisahau ana ondoa magari wana kata seakers .
 

Nakumbuka hili tukio tuko sheikh amri abeid mechi ya simba na yanga jpili ya agost 21 2005
 
Hahahaha nilikuwepo aisee halafu kuna jama alipanda hapo juu akawa ana rap In Patois , watu tukasema huyu jamaa mbongo hiyo Patois kaijulia wapi? , tukasema anatuingiza mjini huyu hahahahaahaha,
Hahaaa,

Naitafuta sana video ya ile concert.

Ile patois ilikuwa pure and uncut, mpaka Jah Kimbute na Justin Kalikawe waliielewa.

Yule jamaa ndiyo mimi sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaaa,

Naitafuta sana video ya ile concert.

Ile patois ilikuwa pure and uncut, mpaka Jah Kimbute na Justin Kalikawe waliielewa.

Yule jamaa ndiyo mimi sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahahhhahhha aisee sikutegea kuja kutana na yule jama amabye ndio wewe, yani huwezi amini nilikua nakumbuka ile Patois halafu nikitoaga story na sema kuna jamaa alituingiza mjini kwa fake Patois , hahahahahaha kumbe ulikua wewe hahahaha ,sasa washkaji tulio kua pale wote tulijua una tuingiza mjini aisee, safi sana kama ili kua real, dah, itabidi unichekie hiyo video aisee , kama ipo ebwana ita kua fresh sana , hahahahaaaa
 

Watu wengi sana walikuwa hawaamini.

Kuna siku moja nilikuwa studio na rafiki yangu East Africa FM, nilikuwa na flow patois live over dancehall beats.

Rodney Mutie alikuwa amekaa na rafiki zetu wengine Mwenge, nafikiri pale Maryland Bar, wanasikiliza kile kipindi.

Sasa, Mutie akawa anawaambia wale jamaa, mnasikia hiyo Patois? Huyo ni mchizi wangu yuko live studio sasa hivi.

Wale jamaa wakaona Mutie anawazingua, wakisema haiwezekani, hiyo ni CD mnapiga, huyo si Mtanzania.

Basi Mutie akaweka nao bet, akamchukua mmoja akaja naye mpaka studio, akamuonesha through the glass nipo studio nina toast Patois.

Jamaa hakuamini.
 
East Africa FM ilianzishwa ili ku promote muziki wa reggae. Baada ya Rodney kutangulia mbele za haki, mambo yakabadilika sana.
Nahisi hicho kipindi kilikuwa Road block. Big up sana Kiranga
 
East Africa FM ilianzishwa ili ku promote muziki wa reggae. Baada ya Rodney kutangulia mbele za haki, mambo yakabadilika sana.
Nahisi hicho kipindi kilikuwa Road block. Big up sana Kiranga
Mkuu wewe code unazijua zote.

Big Up.
 
Aisee
Mkuu, nimeshikwa na kigugumizi
Hata sijui nianzie wapi kuuza nyaraka[emoji23]
Kumbe na Eric Buddhist ulikuwa nae
Eric alienda Malaysia. Alipiga chuma kikamkubali kichizi. Huyu wa Upanga.

Halafu kuna Eric mwingine wa Sinza. Alienda Temple ya South Africa akapanda meli akawa baharia akafika mpaka New Orleans, alitaka kukimbilia US lakini akishindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…