Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Ngoja nianzishe Uzi wa Pisi kali moja famous Tanzania nzima kwa wahenga wote hadi wazazi wetu ila ni wachache sana walijua ilikuwa ni kutoka Oysterbay.
Obey imetoa miss Tz wawili, mmoja ametajwa hapa mwingine bado, ni huyo unayemzungumzia?
Ni kwasabababau ukiwa Tanzania unakuwa a first class citizen ila Marekani huwezi kuwa na daraja hilo.
Jama nauliza pia , kuna demu mmoja alikua ana kaa pale wa Mzee Shaba, sina uhakika alikua ni mjukuu au mwanae, nilikuwa nina mzimia kinoma,
Huyo mzee Shaba ni yule Profesa?
 
Maelezo yamenyooka,
 
Nilicho jaribu kusema ni kwamba Lemutuz hakukaa Oysterbay wala kwenye nyumba ya mzee wake, tulio kaa Obay haukumjua wala kumuona , alijilea kiamaisha akiwa mwenyewe .
Ok! Kwa maelezo yake kuna kipindi alikaa ikulu kwa mjomba wake ambae alikuwa akiishi na kifanya kazi ikulu
 
Hao watoto wa mzee marehemu mzee mkobo walikuwa ni shida aisee, kipindi tunahamia sinza kutoka ocean road walitutesa sana, ila sitasahau ngumi za mfike(fike wilson) alipigana na dame pale kijiweni hakuna alieingilia ule ugomvi hadi polisi wanawaogopa. Pati mapanga alifia kwa madiba baada ya kupigwa risasi
 
Fike nafkiri yupo Abu Dhabi au marekani sa hivi ni trainer wa gym uko. nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…