Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Nashindwa hata ku recognise mitaa aisee duh
Acha leo tukajichanganye na wavimba macho Chinese [emoji1] regent

Ova
20230716_110305.jpg
 
Ngoja nianzishe Uzi wa Pisi kali moja famous Tanzania nzima kwa wahenga wote hadi wazazi wetu ila ni wachache sana walijua ilikuwa ni kutoka Oysterbay.
Obey imetoa miss Tz wawili, mmoja ametajwa hapa mwingine bado, ni huyo unayemzungumzia?
Kweli kabisa, kabla ya kwendda Ulaya and America, nilikua nina Wish ninge zaliw aUlaya au bba aynge angekua balozi Ulaya or America, ila baada ya kufika America nakuona watoto wa age zetu wanavyo ishi nikasema sijutiii kuzaliwa na kukulia Bongo nikiwa a teenager , bata zilikua za maana hahahahahahhaha
Ni kwasabababau ukiwa Tanzania unakuwa a first class citizen ila Marekani huwezi kuwa na daraja hilo.
Jama nauliza pia , kuna demu mmoja alikua ana kaa pale wa Mzee Shaba, sina uhakika alikua ni mjukuu au mwanae, nilikuwa nina mzimia kinoma,
Huyo mzee Shaba ni yule Profesa?
 
Mtoto wa Malecela wa kiume aliyekuwa anajulikana Oysterbay ni marehemu Ipi Malecela.

Ipi alikuwa anaendesha Benz anapenda kupiga nyimbo za Notorious BIG Oysterbay Beach.

Ipi alikuwa akirudi kutoka Uingereza lazima Bonny Love amtangaze club, "Ipi Malecela straight from London".

Alikuwa anawaletea watu wa Clouds records (LP), tena akiwaletea records anawanunulia mbilimbili, moja anampa DJ Bonny Love, nyingine anampa Kusaga.

Sasa watu walikuwa wanashangaa inakuwaje Bonny Love anamfagilia sana Ipi Malecela? Kumbe Ipi alikuwa anawanunulia sana LPs Clouds.

Mzee Malecela alikuwa anamuandaa Ipi kwenye chama, akawa kiongozi jumuiya ya vijana, akafariki katika mazingira ya utatanishi naye.

Mzee Malecela akaulizwa kama anataka mwili wa Ipi ufanyiwe autopsy madaktari wajue vizuri kilichomuua, lakini Mzee Malecela alikataa, akisema yote ni mapenzi ya Mungu tu.

Marehemu William "LeMutuz" alikuwa mkubwa sana kwetu nafikiri alishaingia kwenye ubaharia miaka hiyo, hivyo watu wengi wa rika letu hatukupata kumuona tulivyokuwa Oystebay.

Mimi William nimekuja kukutana naye baadaye kabisa New York.
Maelezo yamenyooka,
 
Nilicho jaribu kusema ni kwamba Lemutuz hakukaa Oysterbay wala kwenye nyumba ya mzee wake, tulio kaa Obay haukumjua wala kumuona , alijilea kiamaisha akiwa mwenyewe .
Ok! Kwa maelezo yake kuna kipindi alikaa ikulu kwa mjomba wake ambae alikuwa akiishi na kifanya kazi ikulu
 
Mmhh kumbukumbu zangu ananijia mtu aliyekuwa akiitwa SALU MAFISH (r.i.p) huyu alikuwa akituuzia wale samaki wa kuweka urembo sebuleni, vip unawajua kina ayoub mkobo (vandame),msafiri mkobo,pati mapanga(r.i .p),husen bilida, denis kinyani,abdala na abeid na simba kumekucha,
Hao watoto wa mzee marehemu mzee mkobo walikuwa ni shida aisee, kipindi tunahamia sinza kutoka ocean road walitutesa sana, ila sitasahau ngumi za mfike(fike wilson) alipigana na dame pale kijiweni hakuna alieingilia ule ugomvi hadi polisi wanawaogopa. Pati mapanga alifia kwa madiba baada ya kupigwa risasi
 
Hao watoto wa mzee marehemu mzee mkobo walikuwa ni shida aisee, kipindi tunahamia sinza kutoka ocean road walitutesa sana, ila sitasahau ngumi za mfike(fike wilson) alipigana na dame pale kijiweni hakuna alieingilia ule ugomvi hadi polisi wanawaogopa. Pati mapanga alifia kwa madiba baada ya kupigwa risasi
Fike nafkiri yupo Abu Dhabi au marekani sa hivi ni trainer wa gym uko. nguvu
 
Back
Top Bottom